Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
 
Ww ilikua inakuhusu nn mchumba? Minding your own business ingekusaidia sana
 
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Pole ila ustaarabu unazidi kupoteza kwa binaadamu aisee tunaenda kuwa kama wanyama ambae anaweza kumpanda mwenzake na kukata mauno mbele ya wazazi wake na hadharani , hivi huyo mzee atashindwa kumfanya mtoto wa nduguye Yani aibu imrmuishia kabisa utu 0, basi aibu huna mwenzio ameomba usimkere na Hilo 0 anaishije na Majirani zake
 
Back
Top Bottom