Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nahisi mtu wa Chato huyu bwana masinemaPole ila ustaarabu unazidi kupoteza kwa binaadamu aisee tunaenda kuwa kama wanyama ambae anaweza kumpanda mwenzake na kukata mauno mbele ya wazazi wake na hadharani , hivi huyo mzee atashindwa kumfanya mtoto wa nduguye Yani aibu imrmuishia kabisa utu 0, basi aibu huna mwenzio ameomba usimkere na Hilo 0 anaishije na Majirani zake