Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jiongeze wewe mtu hadi kakupa ishara kwa vitendo huelewi tu. Kwani una miaka 6 wewe?
 
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Mtandio hauzuiii sauti! Pole sana I can imagine
 
Back
Top Bottom