Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa lazima uchange uelekeoHa ha ha ha uzi ushabadili uelekeo.
Wewe huwa unalia Kama huyo Dem kwenye x au huwa unagugumia Kama unakunywa muarubaini!?...jifunze Jambo hapoNasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.
Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.
Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Kuna kila dalili ya mtoa mada kuvurugwa na hiyo muvi. Inaonekana anapitia wakati mgumu sana.Sasa sindio uangalie nae tu..😋
Ujue kwa namna yoyote huo ni ushamba sana kwa mtu kuangalia ponigraphy wazi wazi.Haya mabasi ni two by two na hiyo tablet ameiweka kwa namna ili uone makusudi anachokitazama
Ustaarabu muhimu. Huu ujinga wa mind your own business hata wenye hii lugha kuna vitu wanavikataza kisheria kimojawapo ni kuangalia ngono publicWw ilikua inakuhusu nn mchumba? Minding your own business ingekusaidia sana
Kumbe huyu mean kwenye avatar yako Ni mcheza porno maarufu Sana, [emoji38]Ww ilikua inakuhusu nn mchumba? Minding your own business ingekusaidia sana
Unafahamu maana ya public? Hio pia ni pub ndio maana ameona kuanzisha UziSio public ni kwenye gari?
Karibu moro, ukifika nitafte nikuombee ili maroho machafu aliyokupatia yatokeNasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.
Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.
Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Mh mjumbe, naona umeshafika kwenye hii hoja ya msingiMjumbe[emoji3][emoji1751]
hiyo kitu inaharibu sana ubongo. hata ukiwa kwenye action unakuwa unafantacise tu clip/mapicha uliyoonaNasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.
Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.
Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Ilibidi nimtumie kama tatu hivi ili aendelee vizuri na safari...😋😋Kuna kila dalili ya mtoa mada kuvurugwa na hiyo muvi. Inaonekana anapitia wakati mgumu sana.
Jamaa akaze hapo hapo, asiachie mpaka kieleweke.
Kuna dada moja way back tunashuka pantoni hapo magogoni. Anaongea na simu kwa nguvu (kama unajua ile changanyikeni pantoni ikifika kila mtu anataka kuwahi daladala) akawa ansema "hilo biti la kidole tu wala halinifanyi kukojoa, nimekwambia nilipe pesa yangu huwezi nito*****ba masaa matatu halafu ujione mjanja na Pesa yangu." Ilibidi watu waachie njia kama vile wamesikia msafara unapita. Kila mtu akarudi nyuma ili amuone huyo dada, yeye wala hajali kabisaKuna watu wamepinda. Wakati wengine hata kuongea mambo binafsi tu kwenye daladala hatuwezi
Hiyo ni public. Ana haki kutaka asimsumbueWw ilikua inakuhusu nn mchumba? Minding your own business ingekusaidia sana