Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Kuna dada moja way back tunashuka pantoni hapo magogoni. Anaongea na simu kwa nguvu (kama unajua ile changanyikeni pantoni ikifika kila mtu anataka kuwahi daladala) akawa ansema "hilo biti la kidole tu wala halinifanyi kukojoa, nimekwambia nilipe pesa yangu huwezi nito*****ba masaa matatu halafu ujione mjanja na Pesa yangu." Ilibidi watu waachie njia kama vile wamesikia msafara unapita. Kila mtu akarudi nyuma ili amuone huyo dada, yeye wala hajali kabisa
Siwengine hizi ndio pigo zetu, ningekuwepo hapo ningemfuata hadi mwisho wa atakapo ishia ili nisikilize habari za muhimu sana hizo kwa maendeleo ya taifa...🤣🤣
 
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Vp andaa kalio Hilo litaliwa muda mfupi ujao.
 
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Hali ya hewa imeharibika.
Pole sana
 
Umenikumbusha kipindi flan hizi bus zinaitwa ZUBE frm Mwnz to Arusha tukiwa singida pale tumesimama kupata chakula mwamba alibadili flash sasa wakati safari inaendelea ndo wakaplay duuh ilikua hatari nilishindwa nimshtue jirani aangalie(demu flan pisi) maana scene ya kwanza tuu manzi analamba coni hahaha it was crazy!
 
Back
Top Bottom