Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Huenda tablet yenyewe ni hizi za mgao wa majuzi
Faida za tablet za bure na hasara zake
 
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Ingawa sizipendi hizo video lakini yupo sahihi, ni starehe yake binafsi isitoshe ameweka sauti ya chini kuepusha kutowabughudhi wengine. Ni sawa na mtu anayevuta sigara auvanayekunywa pombe. Huwezi mkataza kwa sababu wewe hupendi
 
Unapoangalia kwenye public unakuwa umevunja sheria, hizo ni sinema za faragha
 
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.

Tajiri hana shida, shida inakuja kwa baadhi ya madereva na makonda. Huu ujinga wa kuweka miziki na mambo ya hovyo hovyo nafikiri available only Afrika.
 
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
safiri na mandingo upate raha
 
Back
Top Bottom