Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Kwa hiyo uungwana ni kuchungulia mambo private ya watu?

Mobile phones au tablets ni vifaa private, ulichokifanya ni kuingilia faragha ya abiria mwenzako. Perhaps alifanya hivyo baada ya kuona unakodolea macho mambo yasiyo kuhusu.

Ulicho kifanya ni sawa na kumchungulia mtu akiwa chumbani kwake.
Sikuchungulia, labda uwe ni mgeni wa vyombo vya usafiri. Abood hawana business class wala hawana first class. Abiria wote mnakaa 2x2 namnabanana. Swali la kipumbavu, je kwanini nikizungusha mtandio kichwani ili nisisikie wala kuona uzinzi wake?
 
Ukiendelea kunifuatilia ntahama siti kwa kisingizio unajamba sana najaribu kuficha tablet usione lakini unarefusha shingo tu nitaangalia mpaka nafika msamvu
Hua nashangaa sana watu wanao toa like zao kwa comment kama hizi, Ni kwamba hawaelewi kimezungumzwa nini au ujinga ndio umetawala..
 
Aisee hyo issue nshawahi ishuhudia mwaka 2014 naenda skonga magomeni apo kwenye daladala mkwajuni kuna mzee anaangalia XX afu watu tumesimama daladala imejaza mzee hana hata habari sasa usikute mzee mwenyewe akawa ndo huyo hyo tu
 
Yaani wewe mtamu sana ungekuwa demu wangu tunatazama halafu tukigegedana tunaiga mastyle ya kwenye porno 😋😋😋
Wewe ni mtoto kuanzia akili zako hadi nyayo zako. Na kupitia maandishi yako tu, naweza kuusoma ukoo wenu mzima...
1. Hamna mtu mwenye akili, wewe umewazidi wote
2. Wewe ndio tajiri wa ukoo

Lakini in real sense wewe ni taahira hohehahe
 
Jemima Mrembo hivi ni vitu vya kukaa na kuyajenga mrembo. Mbona hivyo lakini haya sasa njoo kwa tajiri wa ukoo ule raha za dunia babe 😘
 
Sikuchungulia, labda uwe ni mgeni wa vyombo vya usafiri. Abood hawana business class wala hawana first class. Abiria wote mnakaa 2x2 namnabanana. Swali la kipumbavu, je kwanini nikizungusha mtandio kichwani ili nisisikie wala kuona uzinzi wake?
Mimi naishi Tanzania na ni mdau wa usafiri wa mabasi.. 90% of the time, huwa sifahamu aliyekaa siti jirani yangu kavaa nguo ya aina gani, let alone kupima na kukadiria umri wake. Hii ni kwa sababu I always mind my business, labda kama itokee ulazima.

Uwezi chungulia faragha za watu alafu uje hapa kujudge vitu ambavyo pengine hukupaswa kuviona.
 
Back
Top Bottom