Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
- Thread starter
- #161
Sikuchungulia, labda uwe ni mgeni wa vyombo vya usafiri. Abood hawana business class wala hawana first class. Abiria wote mnakaa 2x2 namnabanana. Swali la kipumbavu, je kwanini nikizungusha mtandio kichwani ili nisisikie wala kuona uzinzi wake?Kwa hiyo uungwana ni kuchungulia mambo private ya watu?
Mobile phones au tablets ni vifaa private, ulichokifanya ni kuingilia faragha ya abiria mwenzako. Perhaps alifanya hivyo baada ya kuona unakodolea macho mambo yasiyo kuhusu.
Ulicho kifanya ni sawa na kumchungulia mtu akiwa chumbani kwake.