Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahh kule kwetu uswahilini na wale wenzetu wa dini ile wanasema choon kuna majin..na kuna jini ilo kituo chake cha kazi ni toilet sa siku likitumwa damu na wewe ndo ikawa umeingia na HAUKUJIZATITI (kwa kusema bismilahhhhh...) bas inakula kwako...!!!!1
yaani usali wakat wa kula
wakat wa kulala
ukiingia chooni...sjui ata ukiingia jikon pia kuna sala yake..?
ngoja nkimbie migomigo fats i wl bak wth SUFFICIENT N CREDIBLE ANSWERS
Kweli?ahh kule kwetu uswahilini na wale wenzetu wa dini ile wanasema choon kuna majin..na kuna jini ilo kituo chake cha kazi ni toilet sa siku likitumwa damu na wewe ndo ikawa umeingia na HAUKUJIZATITI (kwa kusema bismilahhhhh...) bas inakula kwako...!!!!1
yaani usali wakat wa kula
wakat wa kulala
ukiingia chooni...sjui ata ukiingia jikon pia kuna sala yake..?
ngoja nkimbie migomigo fats i wl bak wth SUFFICIENT N CREDIBLE ANSWERS
Mhhhh... Wote siwapingi, ila kuna tetesi zinasema hivi kutokana na jinsi watu wengi wanavyoanguka huwa ni kunasababishwa na utelezi... Kama vile vyoo vilivyo na majimaji na hata hivi vya kisasa vyenye tails, kwa hiyo basi kuanguka huko huwa asilimia kubwa wanakosa balance na kuanguka kinyumenyume yaani kuangukia chini ya kisogo na hata kisogani na kulingana na mwili wa binadamu ulivyo mawasiliano makubwa yaani ufahamu upo kwenye kisogo hivyo basi, kama mtu akiangukia kisogo husasabisha madhara hayo yaani kufa au kupooza kutokana na mishipa ya fahamu kupasuka au kukatika kabisa. Nawakilisha
du jini cameroon tena hivi yapo majini ya kikristo?
mh..............kweli eh?Nashawishika na jibu lako, lina mantiki.
Mhhhh... Wote siwapingi, ila kuna tetesi zinasema hivi kutokana na jinsi watu wengi wanavyoanguka huwa ni kunasababishwa na utelezi... Kama vile vyoo vilivyo na majimaji na hata hivi vya kisasa vyenye tails, kwa hiyo basi kuanguka huko huwa asilimia kubwa wanakosa balance na kuanguka kinyumenyume yaani kuangukia chini ya kisogo na hata kisogani na kulingana na mwili wa binadamu ulivyo mawasiliano makubwa yaani ufahamu upo kwenye kisogo hivyo basi, kama mtu akiangukia kisogo husasabisha madhara hayo yaani kufa au kupooza kutokana na mishipa ya fahamu kupasuka au kukatika kabisa. Nawakilisha
Mhhhh... Wote siwapingi, ila kuna tetesi zinasema hivi kutokana na jinsi watu wengi wanavyoanguka huwa ni kunasababishwa na utelezi... Kama vile vyoo vilivyo na majimaji na hata hivi vya kisasa vyenye tails, kwa hiyo basi kuanguka huko huwa asilimia kubwa wanakosa balance na kuanguka kinyumenyume yaani kuangukia chini ya kisogo na hata kisogani na kulingana na mwili wa binadamu ulivyo mawasiliano makubwa yaani ufahamu upo kwenye kisogo hivyo basi, kama mtu akiangukia kisogo husasabij jibu muruwa kabisa hili. aksante mkuu n gb
kweli kabisa,na kwa kuongezea,kikawaida vyoo huwa vidogo sana ukilinganisha na vyumba vingine,na vitu kama masinki,mabomba huchangia sana kuumia kutokana na kujigonga ukiangukauko sahihi sana mkuu pamoja sio medical personel umejitahidi kuelezea kisayansi fulani. Ukisoma forensic medicine wanaeleza hivyo sasa kwa nyongeza ni kuwa ni kwamba % ya watu wanaoanguka chooni huanguka kinyume nyume na kuangukia kisogo kinachotokea pale ni kuwa kutokana na uzito wa mwili akianguka fuvu hupasuka na unajua likipasuka fuvu nini kitatokea. Wale wanaopalalyse inategemea ameangukaje na force aliyotumia kuanguka nayo. Kwa hiyo chooni hakuna kitu ila ni utelezi unaosababisha kuanguka. Medically tunashauri vyoo visakafiwe non slipperly floor. Na ukiangalia waliowengi wanaoanguka ni wazee na watu wa makamu /wagonjwa hii inaelezwa pia mtu as anaprogress kwa age balance inapungua. Nitajitahidi ni waletee shule nzuri kuhusu hili i promise. Tuachane na fikra za kishirikina. Hasa vyoo vile vya kukaa ndo vibaya zaidi coz lile sink linaact kama panga au kompressor tofauti na vyoo vya shimo au vile vya kuchuchumaa. Nawakilisha.
Mhhhh... Wote siwapingi, ila kuna tetesi zinasema hivi kutokana na jinsi watu wengi wanavyoanguka huwa ni kunasababishwa na utelezi... Kama vile vyoo vilivyo na majimaji na hata hivi vya kisasa vyenye tails, kwa hiyo basi kuanguka huko huwa asilimia kubwa wanakosa balance na kuanguka kinyumenyume yaani kuangukia chini ya kisogo na hata kisogani na kulingana na mwili wa binadamu ulivyo mawasiliano makubwa yaani ufahamu upo kwenye kisogo hivyo basi, kama mtu akiangukia kisogo husasabisha madhara hayo yaani kufa au kupooza kutokana na mishipa ya fahamu kupasuka au kukatika kabisa. Nawakilisha
Au mrithi wake mana sijamsikia. Labda bado anachanganyikiwa kujumlisha zile number za ushindiHili swali lingemfaa sana shekhe yahaya. Sasa sijui labda aliacha warithi ngoja tusubiri.
chooni kuna jini Devid Cameroon. Hili ni jini pekee lenye jina la kikristo. Ukiingia chooni usiku na kulikuta likipiga puli, linakupiga mtama kisha linakukameruni.
Ukileta ubishi unakufa kabisaaaa, ukitulia unapata stroke, kudadadadeki
Asilimia kubwa watuwakianguka chooni hufariki dunia au kupooza mwili kuna uhusiano gani kati ya kifo na chooni?
ni kwelikabisaaa... Ndo maana sisi waislamu tunaambiwa tutangulize mguu wa kushoto wakati wakuingia chooni ili ukiteleza uangukie nje( fanya majaribio utakubali hii kitu...) na kuomba dua ya kujikinga na mashetani wa chooni na kutoka tutangulize wa kulia( ili ikitokea bahati mbaya umeteleza uangukie nje pia..) na kuomba dua ya kumshuluru mungu kwa kutuondolea maudhi ya haja zetu zilizotupeleka huko.... Ila pia mtume s.a.w. Aliwahi kusema kuwa binadamu angepewa uwezo wa kuona mashetani wa chooni basi angekjisaidia vichakani maisha yake yote. Asante!!Mhhhh... Wote siwapingi, ila kuna tetesi zinasema hivi kutokana na jinsi watu wengi wanavyoanguka huwa ni kunasababishwa na utelezi... Kama vile vyoo vilivyo na majimaji na hata hivi vya kisasa vyenye tails, kwa hiyo basi kuanguka huko huwa asilimia kubwa wanakosa balance na kuanguka kinyumenyume yaani kuangukia chini ya kisogo na hata kisogani na kulingana na mwili wa binadamu ulivyo mawasiliano makubwa yaani ufahamu upo kwenye kisogo hivyo basi, kama mtu akiangukia kisogo husasabisha madhara hayo yaani kufa au kupooza kutokana na mishipa ya fahamu kupasuka au kukatika kabisa. Nawakilisha
ni kwelikabisaaa... Ndo maana sisi waislamu tunaambiwa tutangulize mguu wa kushoto wakati wakuingia chooni ili ukiteleza uangukie nje( fanya majaribio utakubali hii kitu...) na kuomba dua ya kujikinga na mashetani wa chooni na kutoka tutangulize wa kulia( ili ikitokea bahati mbaya umeteleza uangukie nje pia..) na kuomba dua ya kumshuluru mungu kwa kutuondolea maudhi ya haja zetu zilizotupeleka huko.... Ila pia mtume s.a.w. Aliwahi kusema kuwa binadamu angepewa uwezo wa kuona mashetani wa chooni basi angekjisaidia vichakani maisha yake yote. Asante!!