Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kimazoea vyoo vinatengenezwa katika nafasi ndogo kieneo ukilinganisha na chumbani au sebureni. Ivyo basi ikitokea umeteleza chooni kwa sababu ya udogo wa eneo la chumba cha choo katika kuyumba wakati wa kutafuta balance ya kusimama imara kuna uwezekano mkubwa ukajibamiza ukutani katika maeneo ya hatari mwilini mfano uti wa mgongo au kichwani tofauti na ukiteleza chumbani au sebureni kuna nafasi kubwa ya kutafuta balance ya kusimama bila kufika ukutani.