Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

nahisi unashindwa kufanya uchambuzi kwenye hvi visa! skatai kwamba hamna normal stroke ambayo ukianguka iwe kwa kichwa na sehemu nyingne za mwili au ujimwagie maji! some guys mbona hupiga mbizi kwenye swimming na hakuna effect yyte ile🙂 issue ni kwamba ww unabisha stroke ya majini ya chooni haipo..! mungu muweza wa yote kupitia mitume yake na vitabu akaweka hii dua kwa maana ndugu
Hao majini unao wa ngangania ni kwamba kwanini wanawaangusha watu wa above 50 pekee vipi chini ya hapo hawaonekani?
 
nahisi unashindwa kufanya uchambuzi kwenye hvi visa! skatai kwamba hamna normal stroke ambayo ukianguka iwe kwa kichwa na sehemu nyingne za mwili au ujimwagie maji! some guys mbona hupiga mbizi kwenye swimming na hakuna effect yyte ile🙂 issue ni kwamba ww unabisha stroke ya majini ya chooni haipo..! mungu muweza wa yote kupitia mitume yake na vitabu akaweka hii dua kwa maana ndugu
Mimi Nipo pamoja sipingi yupo mwashule mmoja ndio kang'angania usemayo
 
Mimi Nipo pamoja sipingi yupo mwashule mmoja ndio kang'angania usemayo
Hakuna cha mwana shule, ofcz unayo yasema yanaweza kuwepo 100% sikatai na ndio maana hata kwenye upande wa kitaalamu linapokuja suala lisiloeleweka huwa tuna ruhusu upande wa tiba mbadala ufanyike lakini swali linakuja ni KWANINI NI ABOVE 50 YEARS NDIO WAANGUKE CHOONI? je, hawa majini wanawadhuru wenye hii miaka pekee? Na kwanini wafanye hivyo?
 
Kwasababu kitaalamu watu wenye high risk ya kupata pressure au CVA ni above 50 years

Shikamoo MEDICINE

Lete fact yako pia[emoji23]
sio kwa maisha ya sasa mkuu! kma ww mtaalam naamini utathibitisha hili! bado sjaelewa hoja yko? kwamba unapinga majini ya chooni na stroke zake, au those stroke ni above 50 kwa mujibu wa gazeti lako.🙂
 
Hakuna cha mwana shule, ofcz unayo yasema yanaweza kuwepo 100% sikatai na ndio maana hata kwenye upande wa kitaalamu linapokuja suala lisiloeleweka huwa tuna ruhusu upande wa tiba mbadala ufanyike lakini swali linakuja ni KWANINI NI ABOVE 50 YEARS NDIO WAANGUKE CHOONI? je, hawa majini wanawadhuru wenye hii miaka pekee? Na kwanini wafanye hivyo?
Sijajua uhusiano wa hiyo miaka unayosema na kuanguka chooni,ila nishawahi kumpoteza mtoto wa kakayangu mwaka juzi alianguka chooni ila hajafika hivyo miaka japo anakaribia, lingine akimaliza week tangu aanguke basis atapona japo itachukua hata miaka mingi lakini ,lakini huwa hawafiki siku waliongukia,hayo mengine kwa nini wawadhuru wenye umri mkubwa sijajua sababu ,huenda ikawa kama degedege agharabu kumpata MTU mzima.
 
Salaam wakuu

Inamaana gani mtu akianguka chooni?

Kuna uhusiano wowote wa kichawi na mtu kuanguka chooni?
Iliwahi kuelezwa na Wachambuzi kuwa sababu za watu kuanguka vyooni ni pamoja na hayo yafuatayo:-
1.Kwa asili sehemu za vyooni huwa na maeneo ya faragha ambapo mtu huingia peke yake na kufunga mlango na likitokea la kutokea kama vile kuanguka mtu huyu hukosa huduma za usaidizi za haraka na kupelekea kuteseka peke yako hadi wakati mwengine kukutwa na umauti.
2. Mara nyingi Vyoo vyetu hasa maeneo ya Vijiji na hata Mijiji hutumika pia kama Bafu ambapo watu hutumia sabuni yenye kusabisha utelezi. Kwa hiyo utelezi huo huchochea mtu kutekeleza na kuanguka. Hakuna uchawi hapo ni uelewa tu.
3. Vyoo vingi vina madirisha madogo sana ambavyo huingiza hewa isiyotosheleza na kwa kuwa vyooni huzalishwa hewa mbaya ya carboni, hewa ya Oksijeni huwa pungufu na ikitokea mtu akijikamua huhitaji hewa safi ya Oksijeni nyingi na kinyume chake hupelekea mtu kuanguka.
4. Vyooni ni maeneo ambapo mtu hutumia nguvu sana kusukuma huo uchafu (kinyesi) ambapo wakati mwingine huwa uharo ambayo humaliza nguvu nyingi na kupelekea mtu kuanguka. Hayo ni maoni yangu karibuni
 
Back
Top Bottom