Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Kwanini vijana hawaanguki uko choo?na kwa nini hao wa age ya 50 waanguke chooni tu?🙂 nionyeshe tafiti ulizofanya uthibitishe
Au majini wanapenda watu wenye umri mkubwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini vijana hawaanguki uko choo?na kwa nini hao wa age ya 50 waanguke chooni tu?🙂 nionyeshe tafiti ulizofanya uthibitishe
Nijiangushe ili iweje c itakua ukichaa huo,Mimi uwa naanguka bila kutarajia lakini sijawahi kupata hizo shidanenda tandika, tandale kwa mtogole, kigogo au mwananyamala kajiangushe kwenye choo chochote cha 'passport size' ndani ya wiki lete mrejesho
Mshana hebu litolee ufafanuzi hili jambo ili liishe ndg yangu [emoji120]
Nyie waamini ushirikina ndio mnakutana na shida kama hizo,bibi yangu alianguka chooni akapata stroke watu Kariba yenu wakatushauri apelekwe kwa waganga eti tukimpeleka hospital akichomwa sindano tu lazima afe ..tuliziba masikio tukampeleka hospital kapata matibabu leo hii ni mzima wa afyasio kwa maisha ya sasa mkuu! kma ww mtaalam naamini utathibitisha hili! bado sjaelewa hoja yko? kwamba unapinga majini ya chooni na stroke zake, au those stroke ni above 50 kwa mujibu wa gazeti lako.🙂
Nchi hii inasafari ndefu sana. Mbaya zaidi ukishaamini uchawai huwezi kufanya jitihada zozote za kutumia akili kujikwamua.Nyie waamini ushirikina ndio mnakutana na shida kama hizo,bibi yangu alianguka chooni akapata stroke watu Kariba yenu wakatushauri apelekwe kwa waganga eti tukimpeleka hospital akichomwa sindano tu lazima afe ..tuliziba masikio tukampeleka hospital kapata matibabu leo hii ni mzima wa afya
Maji ya moto ndiyo huleta shida. Na hata wanaotumia dawa za kushusha pressure hawashauriwi kuoga maji ya moto sana.Sasa tushike lipi na tuache lipi mkuu, maana wengine wanasema maji ya baridi ndio yanasababisha madhara na wewe umesema hapa kwamba maji ya moto yanasababisha mishipia kutanuka hivyo pressure kushuka na mtu kuanguka, sasa tumuamini nani katika hili?
Siku zote ukiamini ushirikina ni ngumu mno kupata maendeleo,ukijikwaa kidogo tu safari kwa mganga..Nchi hii inasafari ndefu sana. Mbaya zaidi ukishaamini uchawai huwezi kufanya jitihada zozote za kutumia akili kujikwamua.
Hata kama umetaja uislamu wallahi sikuachi lazima nikuulize.ni kwelikabisaaa... Ndo maana sisi waislamu tunaambiwa tutangulize mguu wa kushoto wakati wakuingia chooni ili ukiteleza uangukie nje( fanya majaribio utakubali hii kitu...) na kuomba dua ya kujikinga na mashetani wa chooni na kutoka tutangulize wa kulia( ili ikitokea bahati mbaya umeteleza uangukie nje pia..) na kuomba dua ya kumshuluru mungu kwa kutuondolea maudhi ya haja zetu zilizotupeleka huko.... Ila pia mtume s.a.w. Aliwahi kusema kuwa binadamu angepewa uwezo wa kuona mashetani wa chooni basi angekjisaidia vichakani maisha yake yote. Asante!!
Msikitini tumeambiwa tutangulize mguu wa kulia tunapoingia,unataka kuniambia lengo tukiingia msikitini kama tunateleza tutelezee nje sio ?tutangulize mguu wa kushoto wakati wakuingia chooni ili ukiteleza uangukie nje( fanya majaribio utakubali hii kitu...)
Mechanism ya kuteleza ni kuwa direction ya mguu inaenda kinyume na unapotelezea.kutoka tutangulize wa kulia( ili ikitokea bahati mbaya umeteleza uangukie nje pia.
Utakumbuka kutanguliza sijui mguu gani . Kama tu hujabanwa vizuri. Umebanwa uharo utakumbuka nini ?!Hata kama umetaja uislamu wallahi sikuachi lazima nikuulize.
Vyoo vya zamani vya waarabu kwanza havikuwa na tails,hivyo suala la kuteleza lilikuwa ni nadra unatelezaje kwenye mchanga tu.
Kwa sababu zamani za mtume hata misikiti ilikuwa hakuna mazuria,manake ni kuwa huko chooni ndo kabisa kulikuwa udongo mtupu.
Hivyo suala la kuteleza halikuweko kabisa kwamba eti utangulize mguu gani.
Msikitini tumeambiwa tutangulize mguu wa kulia tunapoingia,unataka kuniambia lengo tukiingia msikitini kama tunateleza tutelezee nje sio ?
Mechanism ya kuteleza ni kuwa direction ya mguu inaenda kinyume na unapotelezea.
Kama unatembea ukipiga hatua sehemu kuna utelezi ile hatua manake mguu umeenda mbele,mguu ukienda mbele mwili utaangukia nyuma.
Sijawahi kuona mtu anatembea kwenda mbele alafu akaanguka mwili uko mbele yaani akaangukia uso labda atembee kinyume nyume.
Sasa kwa nini ukitanguliza mguu wa kushoto ukiteleza unaangukia nje alafu ukitanguliza wa kulia ukiteleza unaangukia ndani ?
Wewe lazima utakua ni dactari kama sio basi ungesomea ungekua docta mzuliHiyo huwa ni stroke, pressure inaweza kuwa juu halafu ukajimwagia maji baridi. Unaambiwa uanze kujimwaGia maji miguuni kwanza kabla ya ki chwa
mh kwanza lazma utwambie ni mtu wa imani gani ,maana sisi waislam tukienda chooni kuna dua zake na si kusema bismillahahh kule kwetu uswahilini na wale wenzetu wa dini ile wanasema choon kuna majin..na kuna jini ilo kituo chake cha kazi ni toilet sa siku likitumwa damu na wewe ndo ikawa umeingia na HAUKUJIZATITI (kwa kusema bismilahhhhh...) bas inakula kwako...!!!!1
yaani usali wakat wa kula
wakat wa kulala
ukiingia chooni...sjui ata ukiingia jikon pia kuna sala yake..?
ngoja nkimbie migomigo fats i wl bak wth SUFFICIENT N CREDIBLE ANSWERS
Nonesense. MTU anapata stroke ndio anadondokapona pona yako unapata stroke/kiharusi, hii watu weng sana imewatoke. Sababu ya hii inaelezeka hata kisayansi, imani nyingne naskia ipo ila mimi sina fact. Na hii ya kufa mi sijui
Asilimia kubwa watu wakianguka chooni hufariki dunia au kupooza mwili. Kuna uhusiano gani kati ya kifo na chooni?
Chooni na bafuni wanategeshwa majini na mapepo wabaya sana kudhuru watu!Asilimia kubwa watu wakianguka chooni hufariki dunia au kupooza mwili. Kuna uhusiano gani kati ya kifo na chooni?