Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Habari za leo wakuu... Japo ninaufahamu wa kati kuhusu haya Maswala na kutokana na Kusoma thread za wenzangu hapo juu ninaona kila dalili ya hawa watu kukumbwa na Kitu kiitwacho stroke...hali hii hutokea pale ambapo damu inashindwa kupita upande mmoja wapo wa ubongo kutokana na mshipa unao supply damu kuziba.hali hii huweza kuathiri ubongo wa kulia ama kushoto kutegemea na supply imekatika wapi.waathirika hawa hukumbwa na hali hii dalili ya kwanza ni kupinda mdomo au sehemu moja ya mwili either kushoto au kulia kupooza kabisa.Ila kupinda mdomo ni ishara ya kwamba stroke iliyompata huyu mtu ni severe na imesababisha madhara Makubwa!
 
dawa ni moja tu muhimu,na imewaponya wengi,lipo neno moja ambalo linaogopwa nakila aina ya pepo wabaya na majini,ukisahau kutaja mlangoni hata ndani ya choo ukilitaja wote wanakimbia-sema:YESU
 
mbona kipindi cha uchaguzi mkuu kule mwanza slaa alianguka chooni hakufa
 
Basi chooni sii mahala salama kama Kanisani,Msikitini,Bar's,Restaurant's,Casino's,Hotel's,Guest House's
nakadhalika Eeeeeh!..O.M.G
Mnazidi kunitisha.
Endeleeni kufunguka plz...!!

Mkuu mbona unaidhalilisha hiyo avatar yako? Au umeiweka tu hapo kama pambo tu? Kwa maana tulioko ndani ya YESU KRISTO tuna amani tele wala hao majini a.k.a mashetani YESU amewaseta chini ya miguu yetu. Mpokee YESU leo awe Bwana na Mwokozi wako naye atakufanya kuwa mshindi juu ya shetani na wafuasi wake.
 
kuna siku niliingia bafu lenye tiles... wakati naoga nikakumbuka kitu Fulani ikabidi nianze piga nyeto.... balaa ilikuwa pale wazungu walipotaka kutoka... nilijikuta naishiwa nguvu halafu nikateleza, ebana nilijibamiza sakafuni asikwambie mtu.... lakini nipo mpka leo

Ha ha ha ha ha ha ulikumbuka nini ndugu yangu!?...

Dah! Umenifurahisha sana.
 
Mkuu mbona unaidhalilisha hiyo avatar yako? Au umeiweka tu hapo kama pambo tu? Kwa maana tulioko ndani ya YESU KRISTO tuna amani tele wala hao majini a.k.a mashetani YESU amewaseta chini ya miguu yetu. Mpokee YESU leo awe Bwana na Mwokozi wako naye atakufanya kuwa mshindi juu ya shetani na wafuasi wake.
Bwana ndiye Mchungaji wangu.Sitapungukiwa na kitu.
Sina cha kuongeza.
 
'huku maisha ALHAMDULILLAH twashkuru kaka tuwazima mkuu wape DAA'WA wape DAA'WA wagalatia hao bora niseme wagalatia kuliko nikiwaita MAKAFIRI wanachukia kama nini aisee,wape DAA'WA kiongozi wangu wafungue macho kuna mengi hawayajui hao jamaa aisee wafungue macho KA MKUBWA sisi tuko nyuma hapa tunaku-back up na kukupa ma-back vocal mkuu NO FEAR thats how we sapoz to be mkuu...'

Oya vipi tena mwanandugu?
 
Hiyo ni presha kali wala hakuna kingine...moja ya dalili ya presha kali ni kupinda mdomo....fuatilia au oogle utaona...hakuna cha ushirikina wala mauza uza...presha ya namna hiyo inaweza kukutokea sehemu yoyote tu

Tunachopaswa kujua ni kwamba sayansi imeanza baada yakukuta ushirikina
pia inajitahidi kugundua mambo ilikukwepa ushirikina lakini ukweli unabaki palepale alianza Mungu akafuatia Shetani then Sayansi baadae sana.
Binafsi naamini kuanguka bafuni sio bahati mbaya ni upepo wa shetani imeshakua kama kawaida wengi wano anguka wanadanja
 
acheni imani za kishirikina jamani!kuna mashinikizo ya damu,kuna magonjwa ya moyo unaweza ukaanguka popote ukafa sio chooni tu!!!!!!
 
Tatizo watu wasiokua na knowledge wanapinga kisa tu wamesoma udaktari mara waje na BP mara Kisukari nk...labda niulize ata zile hali zinazowatokea madogo zetu wa kike kkt mashule nazo ni hypertension na stroke? Mbona vitabu vya dini vyote vimeeleza kuhusu aya mambo ya mapepo wachafu sijui kuhusu wasafi,majini na mashetani? cha msingi ni Dua,sala na maombi tunapoingia maeneo km ayo kwani tumeshuhudia watu na mabosi wazimaa ila wanakufa wanapoanguka mabafuni au kua na stroke km wanabahati
 
Eeeh Mzizimkavu, huyu ndo shetani?
Nimeipenda ya kuingia na mhuu wa kushoto then unatoka na mguu wa kulia, I dont think kama nitakumbuka, Ha hii ni kwenye vyoo vya nje (vya public) au hata kwenye master bedrum zetu?

Choo ni choo tu mkuu,iwe cha public ama master au hata ghorofani. Muombe Mungu wako akulinde tu ndg.
 
big up Mzizimkavu nafikiri hili litatusaidia tuliowengi
Mkuu bysange Kitu muhimu ni kuwa na imani ukifuata ushauri wangu kamwe huwezi kupotea lakini usipofuata ushauri wangu shauri yako kama alivyo mkuu Kaka jambazi yeye anapinga ushauri wangu shauri yake mwenyewe Mchanga wa Pwani huo mimi simooooooooooo
 
Last edited by a moderator:
'huku maisha ALHAMDULILLAH twashkuru kaka tuwazima mkuu wape DAA'WA wape DAA'WA wagalatia hao bora niseme wagalatia kuliko nikiwaita MAKAFIRI wanachukia kama nini aisee,wape DAA'WA kiongozi wangu...'
Mkuu Mwanahip kuna huyu Mgalatia anayeitwa kwa jina hili.@KakaJambazi Mbishi sana ngojea yamkute ndipo atakapo ona kama maneno niyasemayo yana ukweli ndani yake..
 
Last edited by a moderator:
kila kitu kitokeacho mkuu kinamaana yake na sababu yake mkuu.
vijana wa kleo kuna mambo mengi sana tunayapuuza na kuyazarau na huwa hatufuatilii kumbe ni ya msingi sana.
tunaangamia mkuu kwa kukosa maarifa.

ila sishangai koz wazee wanaishia chalinze

KWA WAISLAM TUNAAMINI CHOONI KUNA MAPEPO WABAYA WAWILI WANAAITWA HUBUTH NA HABAITH,, na tunafundishwa kmuomba Mungu wakati wa kuingia chooni na wakati wa kuingia chooni unatakiwa uingie ukitanguliza mguu wa kushoto na wakati wa kutoka utangulize mguu wa kulia, ukiingia chooni kuna dua yake "Allahumma ini audhubika minal hubuthi walihabithi maana yake ee Mola wangu niepushe na hawa majini wawili hubuthi na habaithi.. kuna dua ya kutokea chooni siiujui bado. so ieleweke choo no choo hata cha tiles,,, wengine dua hii huisoma wakaati wa kiigia vyoo vyetu vya kunuka vya tundu,, wakienda mijini kwa wenye nazo wakakuta vyoo vywa kisasa wanajua aa huku hakuna majini. Allah ajua zaidi
 
Tunachopaswa kujua ni kwamba sayansi imeanza baada yakukuta ushirikina
pia inajitahidi kugundua mambo ilikukwepa ushirikina lakini ukweli unabaki palepale alianza Mungu akafuatia Shetani then Sayansi baadae sana.
Binafsi naamini kuanguka bafuni sio bahati mbaya ni upepo wa shetani imeshakua kama kawaida wengi wano anguka wanadanja

Unaposema Sayansi haikuwepo mwanzoni bado sijakupata vyema,au nini maana ya sayansi,labda tungeanzia hapo.....huwezi ukasema kwasababu dawa ya UKIMWI HAIJAPATIKANA BASI KILA KINACHOFANYIKA JUU YA UKIMWI SI SAYANSI.Ni kuwa sayansi ipo na itaendelea kuwepo ila ugunduzi wa jambo flani unakuwa bado haujafikiwa...

Back to the point ni kuwa,presha ile ni kali hivyo mtu anapodondoka kwa presha ya namna ile mara nying anadondokea kichwa na hata hivyo huwa inaambatana na kupasuka kwa mishipa ya damu iliyopo kwenye ubongo na kama damu hiyo itaingia kwenye ubongo basi italeta kifo kwa mtu huyo.Ninarudia presha ya inayosababisha mdomo kupinda ni kali sana.

I stand to be corrected ili nije kivingine Loly !!
 
Bibie charminglady Kuanguka kwa

chooni ni dalili ya ishara mbaya ya kupatwa na ugonjwa wa kiharusi kupooza kwa upande mmoja. Na Kama utaanguka

chooni kwa bahati mbaya na unaweza usipooze upande mmoja itakuwa ni bahati yako nzuri lakini wengi wao

wanaoanguka chooni huwa wanapatwa na maradhi ya kiharusi yaani Stroke na kama utapona basi utakuwa umepooza

upande mmoja kwa wanawake hupooza upande wa kulia kwa wanaume hupooza upande wa kushoto na ikitokea

umepoza upande mmoja basi kupona inakuwa tabu sana. Kwa imani zetu watu wa Miji ya Pwani yaani Bwagamoyo Dar,Tanga,Zanzibar,Pemba, Mtwara na Mombasa chooni kuna Shetani mbaya

unachotakiwa kwenda chooni utangulize mguu wa kushoto na usome dua fulani kwa kiswahili unaweza kusema hivi

(Ewe Mwenyeezi Mungu ninajikinga kwako kutokana na uchafu wa shetani).Ndio unaingia kwa kutumia mguu wako kushoto na wakati wa

kutoka unatoka na mguu wa kulia ndio unaotanguliza kwa kumuomba Mungu pia, kwa kumshukuru unasema hivi

(Ninakushukuru kwako Mwenyeezi Mungu) ndio unatanguliza mguu wa kulia wakati wa kutoka hayo ndio ninavyojuwa mimi sijuwi

wenzangu wengine mnajuaje tuelewesheni jamani.

Ni yapi makazi ya Majini?

Majini wanaishi katika mgongo wa ardhi, na wanapatikana kwa wingi katika majangwa na sehemu za takataka, sehemu zenye najisi, chooni na makaburini. Na hii ndio sababu hasa ya wale waganga ambao wana uhusiano na mashetani kupenda kuwashauri wateja wao kupeleka vitu vyao na uchawi wao katika maeneo hayo.


images


Shetani huyu ndio hupenda kukaa chooni au sehemu chafu chafu na pia hukaa majalalani.Na hupenda kunyonya Damu za watu.

Nakubaliana nawe kuhusu kiharusi, naamini ni chanzo kikubwa cha watu kuanguka na kupooza upande. Ila huyo shetani anatisha, nikimuona nitakavyomkaba roba..
 
1gb
Kuanguka chooni itategemea utaitafsiri vipi, mfano kishirikina/kiimani/Kimila/ Kisayansi n.k.

Kishirikina watu huamini, mtu 'amemchawia' mwingine na hivyo kumuadhibu kwa njia hiyo.Hii ipo hadi leo katika jamii yetu.

Kiimani, wengine huamini ni aina ya adhabu kutokana na uovu mtu aliowahi kuufanya na hivyo Mungu kumuadhibu kwa nia hiyo. Au uwepo wa "Majini" kwa wenye kuamini hivyo.

Kisayansi, hali hii inaweza kutokea kwa watu wa aina nyingi lakini Mtu kudondoka Chooni (specifically), hutegemea Jinsia, umri, Kazi, aina ya ugonjwa n.k

Jinsia:
Wanaume- hasa kuanzia umri wa miaka ya 55 kuendelea, zaidi ikiwa kuanzia miaka 65 hadi 70 huwa na ongezeko la ukuaji wa tezi dume (Prostate), hii hufanya kugandamizwa kwa njia ya mkojo na hivyo wakati wa kujisaidia haja ndogo (kukojoa) hutumia nguvu nyingi 'Straining' na kusababisha kuongezeka kwa pressure tumboni ilihali kushuka ghafla kwa msukumo wa damu) na hivyo kuleta kizunguzungu na mtu kudondoka.(same scenario mtu akienda haja kubwa na ku-strain)

Wanawake- Kufikia umri wa miaka 55 na kuendelea(kwa wanawake) hasa ule muda ambao ukomo wa mzunguko/hedhi kukoma wanawake wengi hupatwa na tatizo hili, hasa kutokana na mifupa yako kutokuwa imara.

Pia wanawake wengi waliotunia vidonge vya uzazi wa mpango.

Kazi:
Pili aina ya kazi, wengi wa watu wenye kazi za kuinama...mfano kubeba mizigo, wapishi (hasa migahawa n.k), hupata shida ya pingili za uti wa mgongo, hii huweza kusababisha miguu kukosa nguvu, na mru awapo katika sehemu unayoteleza ni rahisi kuanguka na kuvunjika

Aina ya ugonjwa:
Magonjwa mfano Shinikizo kubwa la damu (Hypertension), na magonjwa mbali mbali ya kifua hutegemea sana uwiano mzuri wa msukumo wa damu na mgandamizo wa hewa, viashiria vya mgandamizo mkubwa (Baroreceptors ) mwilini hutambua endapo kunakuwa na shida hiyo.

Pili, magonjwa ya mifupa kwa aina zake hufanya miguu kutokuwa imara hivyo kazi za kuinama, kuchuchumaa kwa muda mrefu huweza kuwa katika hatari ya kudondoka na kuvunjika .

Hivyo basi the bottomline ni STRAINING activity yeyote yenye kusababisha kubadilika kwa pressure, pamoja na matatizo ya mifupa...na inakuwa chooni, kwa sababu tu ya slippery floor/tiles, straining wakati wa kujisaidia (haja kubwa na haja ndogo).
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: 1gb
Back
Top Bottom