Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Hebu tupate basi uhusiano wa kwenda chooni/Bafuni na STROKE!!!!!!!

kirumonjeta watu wanaochuchumaa wakiwa bafuni au chooni wanaongeza zaidi blood pressure na hivyo kuongeza risk ya kupata stroke.
Soma hapa BBC, waliandika kwa lugha isiyo ya kitabibu. http://news.bbc.co.uk/2/hi/health/1399412.stm
 
Last edited by a moderator:
Hizi picha ni za kudanganyia watoto wasali kabla na baada ya kutoka chooni. Pia kuwasisitiza kutanguliza miguu.
Ni sawa ni ile ishu ya kuwafanya watoto waiheshimu qurani kwa kuwadanganya kuwa atakayeikojolea atageuka nyoka.
Ni sawa na kumwambia mtoto "tema mate nimpige".
ametumia hizo picha kama mfano,in reality hakuna aliewahi kupiga picha mashetani,hata yale yatolewayo na walokole hakunaga picha zake.
 
kirumonjeta watu wanaochuchumaa wakiwa bafuni au chooni wanaongeza zaidi blood pressure na hivyo kuongeza risk ya kupata stroke.
Soma hapa BBC, waliandika kwa lugha isiyo ya kitabibu. http://news.bbc.co.uk/2/hi/health/1399412.stm

Mbona asilimia kubwa wanao anguka Choon inakua n eiher b4 ya kupata haja au baada ya haja na c wakat wa haja so hyo stroke inakuja 2 baada ya kuona 2ndu la choo?
 
Last edited by a moderator:
Kwa waislam kuna aya mwenyezi Mungu anasema 'sikuwaumba majini na watu(binadamu) ila waniabudu'. Kwa namna yoyote tunavyoishi sisi binadamu lazima tutambue kuna ulimwengu mwingine wa viumbe wengine 'majini' wanaishi kama sisi na kuwa na mamlaka mbalimbali kama binadamu.
Uwepo wa viumbe hivyo kwenye makazi yetu binadamu ni mkubwa na viumbe hivyo vinaweza kumilikiwa na kutumikishwa na binadamu kwa mambo mema na pia mabaya,kudhuru binadamu wengine nk.
Mtu anapokwenda chooni/bafuni anaweza kukumbana nalo na kumdhuru ama kwa kuanguka na kupooza,kufariki hapo hapo au kupooza muda mrefu na kufariki.
Ukimpeleka hospitali muathirika wa janga la namna hii itaonekana blood preassure ilikuwa juu ama ilishuka na kupelekea ugonjwa wa kiharusi. Bado sijapata 'connection' ya kutosha wadau kwa hayo majini kuingilia kwenye bp na kusababisha madhara haya kwetu binadamu.
 
Hakuna mashetani wala Majini. Hio mi naona inakuwa ni Pressure kali inayoendana na paralysis. hata mtu akipatwa na kiharusi midomo hupinda na either mkono au mguu au vyote hupooza.

Kila k2 knatokea kutokana na sababu.., Kama una amin hcho Kiharuc kmetokana na very high blood pressure ss je hyo high Bp imetokana imesababshwa na nn kupanda kiac hcho ikiwa huyu m2 alkua physically fit?
 
Tiles za choono nazo huchangia bhana,zinateleza sana,kwa hiyo ukianguka ni mweleka hasa
 
Chooni kuna demons mara nyingi wanakaa huko so ukikumbana nayo ndo unapatwa na matatizo hayo.
Ushauri:
Unapoingia chooni muombe Mungu akulinde..
 
nimechukua mawili tu. Kumpa ndizi mgonjwa baada ya kuanguka na huyu aliyesema mchanje sehemu yeyote damu itoke. Wengine wote naona bado hamuamini ushirikina ila kuanguka chooni mbaka kushindwa kuondoka ni ushirikina
 
Mbona kama sikosei Mzee Slaa tuliambiwa alidondoka chooni akavunja mkono na bado yu hai?
 
Mara nyingi hua ni mambo ya shirki. Yaan ushirikina,,,,,,,!!
 
Kama naijua hii story!!
Mjomba wangu pia alianguka chooni akafariki,ila madaktari walisema presha. Na wapo pia wanaoanguka na hawafi wala kuugua.

Hii mambo ina theories nyingi sana na ndio maana tiba asili na za kisasa pamoja na tofauti kubwa zilizopo bado zitaendelea kukaa sahani moja,ilipo dhaifu moja nyingine inaweza!!!!!
 
ni nguvu za giza(ni majini),km baadhi ya wadau wengine walivyotangulia kuchangia!
...so,ukiona hivyo km ni watu wa imani ni kuomba tu na mambo yanakuwa ok.
...kumbuka lucifer alitupwa chini na nguvu zake zote
 
Bibie charminglady Kuanguka kwa

chooni ni dalili ya ishara mbaya ya kupatwa na ugonjwa wa kiharusi kupooza kwa upande mmoja. Na Kama utaanguka

chooni kwa bahati mbaya na unaweza usipooze upande mmoja itakuwa ni bahati yako nzuri lakini wengi wao

wanaoanguka chooni huwa wanapatwa na maradhi ya kiharusi yaani Stroke na kama utapona basi utakuwa umepooza

upande mmoja kwa wanawake hupooza upande wa kulia kwa wanaume hupooza upande wa kushoto na ikitokea

umepoza upande mmoja basi kupona inakuwa tabu sana. Kwa imani zetu watu wa Miji ya Pwani yaani Bwagamoyo Dar,Tanga,Zanzibar,Pemba, Mtwara na Mombasa chooni kuna Shetani mbaya

unachotakiwa kwenda chooni utangulize mguu wa kushoto na usome dua fulani kwa kiswahili unaweza kusema hivi

(Ewe Mwenyeezi Mungu ninajikinga kwako kutokana na uchafu wa shetani).Ndio unaingia kwa kutumia mguu wako kushoto na wakati wa

kutoka unatoka na mguu wa kulia ndio unaotanguliza kwa kumuomba Mungu pia, kwa kumshukuru unasema hivi

(Ninakushukuru kwako Mwenyeezi Mungu) ndio unatanguliza mguu wa kulia wakati wa kutoka hayo ndio ninavyojuwa mimi sijuwi

wenzangu wengine mnajuaje tuelewesheni jamani.

Ni yapi makazi ya Majini?

Majini wanaishi katika mgongo wa ardhi, na wanapatikana kwa wingi katika majangwa na sehemu za takataka, sehemu zenye najisi, chooni na makaburini. Na hii ndio sababu hasa ya wale waganga ambao wana uhusiano na mashetani kupenda kuwashauri wateja wao kupeleka vitu vyao na uchawi wao katika maeneo hayo.

images

Shetani huyu ndio hupenda kukaa chooni au sehemu chafu chafu na pia hukaa majalalani.Na hupenda kunyonya Damu za watu.

Eeeh Mzizimkavu, huyu ndo shetani?
Nimeipenda ya kuingia na mhuu wa kushoto then unatoka na mguu wa kulia, I dont think kama nitakumbuka, Ha hii ni kwenye vyoo vya nje (vya public) au hata kwenye master bedrum zetu?
 
Kwa waislam kuna aya mwenyezi Mungu anasema 'sikuwaumba majini na watu(binadamu) ila waniabudu'. Kwa namna yoyote tunavyoishi sisi binadamu lazima tutambue kuna ulimwengu mwingine wa viumbe wengine 'majini' wanaishi kama sisi na kuwa na mamlaka mbalimbali kama binadamu.
Uwepo wa viumbe hivyo kwenye makazi yetu binadamu ni mkubwa na viumbe hivyo vinaweza kumilikiwa na kutumikishwa na binadamu kwa mambo mema na pia mabaya,kudhuru binadamu wengine nk.
Mtu anapokwenda chooni/bafuni anaweza kukumbana nalo na kumdhuru ama kwa kuanguka na kupooza,kufariki hapo hapo au kupooza muda mrefu na kufariki.
Ukimpeleka hospitali muathirika wa janga la namna hii itaonekana blood preassure ilikuwa juu ama ilishuka na kupelekea ugonjwa wa kiharusi. Bado sijapata 'connection' ya kutosha wadau kwa hayo majini kuingilia kwenye bp na kusababisha madhara haya kwetu binadamu.

Shetani/lucifer anauwezo wa kukupa ugonjwa wowote! Ila Mungu ana uwezo wa kukuponya!...
...so ucpate shida hyo presha inakujaje,,Biblia inasema, 'shetani,ni Muongo na ni Baba wa uongo'
 
Napingana na anayesema 100% wanaoanguka bafuni au chooni hufa. Mi nishaanguka bafuni na nikagundua bafu lilikua chafu. so mtuambie majini yanayokaa chooni ni choo cha shimo au vyote?
 
Bibie charminglady Kuanguka kwa

chooni ni dalili ya ishara mbaya ya kupatwa na ugonjwa wa kiharusi kupooza kwa upande mmoja. Na Kama utaanguka

chooni kwa bahati mbaya na unaweza usipooze upande mmoja itakuwa ni bahati yako nzuri lakini wengi wao

wanaoanguka chooni huwa wanapatwa na maradhi ya kiharusi yaani Stroke na kama utapona basi utakuwa umepooza

upande mmoja kwa wanawake hupooza upande wa kulia kwa wanaume hupooza upande wa kushoto na ikitokea

umepoza upande mmoja basi kupona inakuwa tabu sana. Kwa imani zetu watu wa Miji ya Pwani yaani Bwagamoyo Dar,Tanga,Zanzibar,Pemba, Mtwara na Mombasa chooni kuna Shetani mbaya

unachotakiwa kwenda chooni utangulize mguu wa kushoto na usome dua fulani kwa kiswahili unaweza kusema hivi

(Ewe Mwenyeezi Mungu ninajikinga kwako kutokana na uchafu wa shetani).Ndio unaingia kwa kutumia mguu wako kushoto na wakati wa

kutoka unatoka na mguu wa kulia ndio unaotanguliza kwa kumuomba Mungu pia, kwa kumshukuru unasema hivi

(Ninakushukuru kwako Mwenyeezi Mungu) ndio unatanguliza mguu wa kulia wakati wa kutoka hayo ndio ninavyojuwa mimi sijuwi

wenzangu wengine mnajuaje tuelewesheni jamani.

Ni yapi makazi ya Majini?

Majini wanaishi katika mgongo wa ardhi, na wanapatikana kwa wingi katika majangwa na sehemu za takataka, sehemu zenye najisi, chooni na makaburini. Na hii ndio sababu hasa ya wale waganga ambao wana uhusiano na mashetani kupenda kuwashauri wateja wao kupeleka vitu vyao na uchawi wao katika maeneo hayo.

images

Shetani huyu ndio hupenda kukaa chooni au sehemu chafu chafu na pia hukaa majalalani.Na hupenda kunyonya Damu za watu.
big up Mzizimkavu nafikiri hili litatusaidia tuliowengi
 
Ukiwa mgalatia mambo haya kwako ni history ,unacheza na yesu kristo wewee
 
Mimi sio daktari ila kwa uelewa wangu huwa naona ni kifo cha kawaida bila kuhusisha imani zozote

Kinachotokea huwa ni kama ifuatavyo, kwanza hakuna muda mzuri wa kufikiria mambo yako mwenyewe kama ukiwa chooni au bafuni.

Hivyo ili hali hiyo itokee lazima mtu huyo awe na presha hivyo kutokana kitu anachokiwaza kinaweza kumpa stress sana sababu ukiwa chooni au bafuni unauwezo wa kuwaza deep sana so hujikuta aidha kwa msongo wake wa mawazo huiamsha ile presha,presha inaposhuka au kupanda inakuta mwili haujajiandaa hivyo inachukua upande mmoja au baadhi ya sehemu mtu anapooza ndio ikitokea ikipita na mdomoni na mdomo pia huenda upande. Baada ya hapo kwa kuwa mtu ameenda kujisaidia au kuoga itakuwa ngumu kumuwahi sababu hakuna wa kuhisia tatizo hadi upite muda wa kawaida ndio watu watashituka na kumpeleka hospitali.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom