Kuanguka kwa CUF na kuanguka kwa CHADEMA hakurandani

they have succeded kunyanyasa our mind,SASA WANAANDA MAANDAMANO YA NINI? KUWAPOKEA WABUNGE WA UPINZANI WAMEFANYA NINI?
IPO SIKU WATU WATAJUA WANAVYOPELEKWA BILA SABABU NDIO MTAJUA KUWA THEY ARE NOT STUPID AS HIVI VYAMA VYA UPINZANI VINAVYOTUCHUKULIA...
MWEZI WA NNE WATAANDA MAANDAMANO YA KUWASINDIKIZA WABUNGE WAUPINZANI KWENDA BUNGENI..
JIULIZE BUDGET YA KUANDA HAYA MAANDAMANO UTASHANGAA ILIVYO KUBWA....
 
nakubaliana na wewe Dullah, isipokuwa ninachoamini Cuf haiwezi kufa akiondoka Lipumba, licha ya umuhimu wake lakini lipumba hana mguso sana kwa wana Cuf kama alivyo maalim seif, huyu ndiye cuf na cuf ndo yeye
 
Kweli nemasisi?
Mimi naona kama hawa wawili ndio wamebeba roho za chama,miaka nenda rudi...
 
they have succeded kunyanyasa our mind,SASA WANAANDA MAANDAMANO YA NINI? KUWAPOKEA WABUNGE WA UPINZANI WAMEFANYA NINI?
IPO SIKU WATU WATAJUA WANAVYOPELEKWA BILA SABABU NDIO MTAJUA KUWA THEY ARE NOT STUPID AS HIVI VYAMA VYA UPINZANI VINAVYOTUCHUKULIA...
MWEZI WA NNE WATAANDA MAANDAMANO YA KUWASINDIKIZA WABUNGE WAUPINZANI KWENDA BUNGENI..
JIULIZE BUDGET YA KUANDA HAYA MAANDAMANO UTASHANGAA ILIVYO KUBWA....

How sure you are?
 
CUF kamwe haiwezi kufa kwa kuondoka viongozi hawa wawili hichi ni chama chenye misingi imara ya kuwatetea wazanzibari kutokana na dhulma za majambazi watanganyika.

Kumbe unaitetea zanzibar yako??

basi ni vema tu ukaikumbatia cuf
 
Mtatiro aache kuwahadaa watanzania. Ngome ya CUF ni Zanzibar tena si Unguja ila Pemba. Hakuna cha ngome yoyote kule Temeke. Kama kweli wana ngome huko mbona walishindwa kulichukua jimbo na lilienda CCM badala yake?
Ukweli ni kwamba CUF watajutia kupoteza fursa ya kuwahakikishia wananchi wao si CCM B kama wanavyojulikana.
Watanzania wa leo ni werevu zaidi ya wakoloni wao CCM - wanatambua vema wanaharakati wa kweli na wa bandia.
Wasipoungana na wananchi kuunga mkono harakati za kuutetea umma dhidi ya uporwaji wa demokrasia na ugandamizaji wa wakoloni hawa unaofanywa bungeni basi watakuwa dhidi yao yàani " If they don't rally with the people they'l be against the very people they cheat to represent!"
 
Jamani , huyu Mtatiro mnamuonea bure , Hivi mlitaka aharibu kicheko cha M/KITI Lipumba siku alivyopewa kitambulisho cha Taifa na Jk ? Hebu mwenye ile picha atuwekee halafu Muone kama Mtatiro anastahili Lawama !
 
Mtatiro aache kuwahadaa watanzania. Ngome ya CUF ni Zanzibar tena si Unguja ila Pemba. Hakuna cha ngome yoyote kule Temeke. Kama kweli wana ngome huko mbona walishindwa kulichukua jimbo na lilienda CCM badala yake?
Ukweli ni kwamba CUF watajutia kupoteza fursa ya kuwahakikishia wananchi wao si CCM B kama wanavyojulikana.
Watanzania wa leo ni werevu zaidi ya wakoloni wao CCM - wanatambua vema wanaharakati wa kweli na wa bandia.
Wasipoungana na wananchi kuunga mkono harakati za kuutetea umma dhidi ya uporwaji wa demokrasia na ugandamizaji wa wakoloni hawa unaofanywa bungeni basi watakuwa dhidi yao yàani " If they don't rally with the people they'l be against the very people they cheat to represent!"

Thats right..!
 
Ukiachana na ushabiki usiokua wa kisiasa na kuangalia UKWELI HALISI huwezi kupinga kwamba CUF ndio Chama pekee cha Kitaifa nchini Tanzania; CUF ina Wabunge, Wawakilishi na Madiwani Tanzania Bara, Unguja na Pemba. Niambie ni Chama gani chengine ambacho kina Wabunge Madiwani na Wawakilishi ndani ya Jamhuri yote ya Tanzania?
 
cuf wana wivu.wamebakwa na ccm kwa kile kimuungano chao ambacho kimewatia maradhi na sasa wako mahututi. Chadema andamaneni,ni wakati wenu kung'arisha nyota,kuyazoea mabomu na vitisho vyao kabla ya kuwakabili ipasavyo. M4c!!!!!!!!!!!!!
kwa wana cuf wenye akili timamu hawawezi msahau hamad rashid kwani jamaa alishaona mbali sana kuhusu suala la muungano wa ccm na cuf na akawa anaupinga na hata kufikia hatua ya kumwondoa maalim seif kwenye ukatibu mkuu , bt bila kufikiria wakamtimua japo bado ni mbunge wa mahakama, ila kwa sasa nadhani kwa wale wana cuf wenye akili za kati ndio wanashtuka naw, bt ishakula kwao, na mtatiro aache kutapatapa aachane na cuf aje peooplees kwani kasi yake inaendana na nanma chadema ilivyo.na maalim na lipumba washachukua vyao xo mlibaki mnapiga uvuvuzela na let us weit 2015 it will be their end.
 
Ukiachana na ushabiki usiokua wa kisiasa na kuangalia UKWELI HALISI huwezi kupinga kwamba CUF ndio Chama pekee cha Kitaifa nchini Tanzania; CUF ina Wabunge, Wawakilishi na Madiwani Tanzania Bara, Unguja na Pemba. Niambie ni Chama gani chengine ambacho kina Wabunge Madiwani na Wawakilishi ndani ya Jamhuri yote ya Tanzania?
Yah kweli aisee!
 
Wafuasi wa Chadema wameanza kuikodolea macho ACT wazalendo baada ya kuona hatma ya Chama chao imeanza kuota mizizi na haina tofauti sana na ile iliyopelekea CUF kuvurugwa na kuchawanyika pande mbili.

Ni wazi sasa Chama kikuu kinaelekea kuwa zamu ya ACT Wazalendo maana tayari Chadema inakatwa kichwa ,kwani ilikuwa ni Joka la mdimu linalotishia uhai wa Mfalme CCM.

ACT jipangeni kupokea viongozi waandamizi wa CHADEMA ,naiona Tanzania itakayokuwa na vyama viwili hadi vitatu vya siasa.

Kile Chama kimoja juzi kiongozi wake mkuu ameonyesha kuwa na mori wa hasira(NCCR) ,hivi hawa wamekasirika au wamekasirishwa ?
 
miaka nenda miaka rudi nyie vibaraka uchwara huwa mnaota hii ndoto, lakini cha kuwashngaza ni kuwa CHADEMA inazidi kukubalika na kupendwa na watanzania pamoja na effort zenu kubwa mnazo fanya kukiuwa kila kukicha…...
 
Back
Top Bottom