Kuanguka kwa CUF na kuanguka kwa CHADEMA hakurandani

Kikubwa Cdm bado ni wamoja.

Hao wanaoviua vyama vya upinzani kwani wana nia njema na nchi hii ?!!
 
Tuseme bye bye kwa jiwe
 
miaka nenda miaka rudi nyie vibaraka uchwara huwa mnaota hii ndoto, lakini cha kuwashngaza ni kuwa CHADEMA inazidi kukubalika na kupendwa na watanzania pamoja na effort kubwa mnazo fanya kukiuwa…...
Hapo ndipo wanachoka
 
Utasubiri sana, CDM ni imara kuliko jana!
 
Mwendazake alidhamiria kuiua Chadema kaondoka yeye kaiacha inaimarika. Nawe mleta uzi utasubiri sana na kwa uzi unazidi kuiimarisha Chadema. "Sorry for disappointing you".
 
Sio nafurahia CCM wana mbinu nyingi ,si inajulikana waliisaka CUF tokea kuwanyima wabunge nchi nzima na mmeona CHADEMA imenyimwa wabunge na kama haitoshi mbinu ya CCM wanaojificha nyuma ya polisi,inajulikana wazi kaama polisi wanawakingia kifua CCM, wamemwinda Mbowe na kumlia timing mpaka wamemtia mkononi ,nina uhakika hatoki.
 
Mbowe atatoka kishujaa. Ni suala la mda tu.
 
Ni Chadema ipi imekufa! Ni hii ambayo juzi huko Kyela Mbeya polisi waliwakataza kufanya mkutano wa ndani?
Mkoloni mwingereza hakuwahi kuweka watu ndani au kuwakataza kufanya mikutano kama ilivyo sasa. Kumbuka kuna wakati viongozi wake wote walifungwa kwa makosa hii kwa mujibu wa mahakama lakini chama kiliendelea, Chadema siyo Mbowe wala Lijualikali, Covid 19 wako bungeni bila chama na Chadema ipo na itakuwepo.
 
Mbowe atatoka kishujaa. Ni suala la mda tu.
Unaota kesi ya Ugaidi isikie hivyo hivyo ukiikwaa mwisho yaani imeisha basi ka miaka kumi au zaidi labda atokee Raisi aaamue kuwaachia wafungwa huru au kufuta kesi zilizochukua muda mrefu, hapa ujue ipo kazi labda wananchi kwa ujumla wao wafanye maandamano kuiangusha CCM madarakani
 
Mwendakuzimu aliekua mwendawazimu na file Milembe aliwahi ota ndoto Kama hiyo lakini akafa yeye CHADEMA Bado ipo TU
Naona na wewe unataka ota ndoto hiyo yenye maruwe ruwe ya kutisha
Hebu amka kumekucha usije kojoa kitandani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…