Kuanguka kwa Diamond na kupaa kwa Davido

Kuna vitu vingi umepuyanga

Ila una point diamond wa 2015,2014 sio huyu wa sasa..jamaa kashuka sana

JamiiForums mobile app
Ni yule yule sema 2014-2015 ilichagizwa sana na matuzo na mwenyewe alikuwa limbukeni sana wa matuzo na ndio maana, ilikuwa hata akiwa nominated kwenye AFRIMA, ilikuwa ni full vurugu za kuomba kura huko Instagram hadi alipoambiwa achana na hayo mambo! Kama ni tuzo na mashabiki unao, utapigwa tu kura!!! Sasa ile mizuka ya tuzo naona ni kama imepungua sana, kiasi kwamba hata majuzi nikajiuliza hivi tuzo kama MTV MAMA na MTV EMA bado zilifanyika mwaka jana na mwaka juzi?

Hizi tuzo zilileta amsha amsha sana ya muziki wa bongo!
 
Ninachokiona kwa Diamond ni hiki
1.Ameanzisha recording label ya Wasafi na kusajili wasanii ambacho ni kitu kizuri tu ila shida inakuja kuwa wasanii alionao anawatreat very fair business wise kiasi ambacho inampa shida kubalance new track releases.
2.Ndani ya kundi lao LA Wasafi .Diamond ameshindwa kutoka nje ya mawazo ya kimuziki ya akina mboso,rayvany na lavalava kiasi ambacho hakuna kipya katika Muziki wao kwani kila Siku Maneno ni yaleyale pia wapo ki matusi zaidi huku wakijidangaya kuwa wanaburudisha.Diamond anatakiwa kuwaza nje ya box LA hawa watoto wake kimuziki.
3.Diamond haamini kuwa anaweza kusimama yeye kama yeye na akafanya kazi nzuri inayokubalika Afrika nzima.The way alivyoanza kwa collabo ikamfanya maarufu bado jamaa haamini kuwa anaweza kutoa hit song bila collabo ya staa WA Naija.Hili no tatizo
4.Diamond ana menejimenti iliyokaa kiswahili sana licha ya kuwa inafanya vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye management(washauri)ndio kwenye tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza diomond hajawahi kuwa juu ya davido
Pili wizkid kachomoka mapema ya davido

Tatu hakuna msanii wa kuwa kwenye top mda wote. Mziki ni kama Maisha kuna mwaka wa hasara na wa faida hata Huyo davido kuna mwaka huwa unapita kila ngoma akitoa zinadunda

Kwahiyo bas huwez kuwa kwenye top mda wote. Diomond kushuka kimataifa kwa mwaka huu siyo kitu kigen kwenye music ni jambo la kawaida sana ambalo hutokea kwa wasanii wakubwa kama akina drake, lily Wayne na wengine wengi

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Point.
 
Maboss wake waswahili Swahili unafikilia watampeleka wapi diamond, acha mzimu wa ruge uwamamlize diamond sasa yeye kama yeye kuingia studio nakufanya hit hawezi nasema tena hana uwezo huo anasafiria nyota za madogo tu
 
Bandiko hili lisichukuliwe vibaya na team ya WCB ambao mara zote wanapenda kutoambiwa ukweli bali liwe kama changamoto ya kuwafanya wamshauri msanii wao arudi kwenye right track ili aokoe career yake ambayo inapotea kimataifa.

Kushuka kwa Diamond na kupaa kwa Davido ni suala la kushangaza kwani mwaka 2014/2015/2016 Diamond alikuwa juu sana kimziki akifanya collabo na wasanii kadhaa wa Afrika pia akiwa na hit song zilizomfanya awe Africa mogul kama wimbo wa Nana,ukiacha collabo na hit song zilizotikisa Africa, Diamond pia alifanya show kubwa sana zilizojaza watu katika maeneo mbalimbali ya Africa na Europe.

Inasemakana kipindi hicho ratiba ya Mond ilikuwa booked Almost the whole year, kumkuta bongo Mond ilikuwa ni shida kila mtu alitamani kufanya nae collabo kila nchi ilitamani akafanye show. Kwa upande wa swahiba yake Davido yeye kimziki alishuka ni kama Mond alipoteza nyota yake kimziki na pia kuibuka kwa wasanii wapya Kama Tekno miles na Wizkid kulimshusha chart ilifikia hatua ya Davido kufikiria kuacha mziki kutokana na stress.

Lakini kwa takwimu za sasa zinaonyesha kinyume kwani Diamond ameshuka kwa anguko kubwa sana kama bei ya utumbo wakati Davido amerudi on top of the game. Wakati Diamond aliyekuwa star anayeibuka Africa anaimba nyimbo za matusi na kina Rayvan, kubadili wanawake kila mwaka, na kushindana na basata,Davido yeye anafanya show Kubwa 02 Arena London inayojaza washabiki 20k.

Je, Diamond amekubali kuachana na soko la mziki la kimataifa?
Buda umesahau kitu,Nigerians ni wengi sana watu over 200M hao ni wengi sana so imagine nusu population hio iki view ngoma zake n plus watu kiasi wa kenya na Tz na SA ako sawa,n about London unafaa ujue Nigerians wako kila mahali lakini wako London sana,so ofcourse ako na fanbase london wenye wengi wao ni Nigerians n Ghananians not britons white

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japokua mipasho mingi lakini diamond tangu aachane na bosslady sioni anachofanya cha maana sikuhizi yule mama nadhani ana nyota ya biashara na diamond ali shine mno kupitia zari na dhani pia alimuwekea miongozo mizuri sasa ivi kabaki kubadilisha tracksuit tu na wanawake kibongo bongo bado ana soko lakini kwa majirani kawa kituko mfano show ya kenya ili lalamikiwa sana bado haujachelewa mondi jikung'ute kaombe radhi kwa mzazi mwenzio nawatoto wako na umkumbuke baba yako mzazi sio huyo mlezi yatakwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bandiko hili lisichukuliwe vibaya na team ya WCB ambao mara zote wanapenda kutoambiwa ukweli bali liwe kama changamoto ya kuwafanya wamshauri msanii wao arudi kwenye right track ili aokoe career yake ambayo inapotea kimataifa.

Kushuka kwa Diamond na kupaa kwa Davido ni suala la kushangaza kwani mwaka 2014/2015/2016 Diamond alikuwa juu sana kimziki akifanya collabo na wasanii kadhaa wa Afrika pia akiwa na hit song zilizomfanya awe Africa mogul kama wimbo wa Nana,ukiacha collabo na hit song zilizotikisa Africa, Diamond pia alifanya show kubwa sana zilizojaza watu katika maeneo mbalimbali ya Africa na Europe.

Inasemakana kipindi hicho ratiba ya Mond ilikuwa booked Almost the whole year, kumkuta bongo Mond ilikuwa ni shida kila mtu alitamani kufanya nae collabo kila nchi ilitamani akafanye show. Kwa upande wa swahiba yake Davido yeye kimziki alishuka ni kama Mond alipoteza nyota yake kimziki na pia kuibuka kwa wasanii wapya Kama Tekno miles na Wizkid kulimshusha chart ilifikia hatua ya Davido kufikiria kuacha mziki kutokana na stress.

Lakini kwa takwimu za sasa zinaonyesha kinyume kwani Diamond ameshuka kwa anguko kubwa sana kama bei ya utumbo wakati Davido amerudi on top of the game. Wakati Diamond aliyekuwa star anayeibuka Africa anaimba nyimbo za matusi na kina Rayvan, kubadili wanawake kila mwaka, na kushindana na basata,Davido yeye anafanya show Kubwa 02 Arena London inayojaza washabiki 20k.

Je, Diamond amekubali kuachana na soko la mziki la kimataifa?
"Anabadili wanawake"....mbona una wivu we mwanamke ushatumiwa km condom wakati wako ushakwisha,sasa kwanini unawaonea wivu wanawake wenzako?

Sio ali kiba tena sasa ni davido, hii ni hatari
 
At least siku hizi mnajua watu wa kuwafananisha na Mondi.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kwanza diomond hajawahi kuwa juu ya davido
Pili wizkid kachomoka mapema ya davido

Tatu hakuna msanii wa kuwa kwenye top mda wote. Mziki ni kama Maisha kuna mwaka wa hasara na wa faida hata Huyo davido kuna mwaka huwa unapita kila ngoma akitoa zinadunda

Kwahiyo bas huwez kuwa kwenye top mda wote. Diomond kushuka kimataifa kwa mwaka huu siyo kitu kigen kwenye music ni jambo la kawaida sana ambalo hutokea kwa wasanii wakubwa kama akina drake, lily Wayne na wengine wengi

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umemaliza kila kitu nilichokuwa nafikiria wakati nasoma huu uzi... uzi umeandikwa kitoto sana tena na mtu ambaye hata hajui soko la muziki likoje.... atakuwa kasahau kile kipind cha miezi tisa davido bila wimbo mpka tukamsahau... na ndo kipindi mond alipokuwa juu zaidi... ila baada ya mond kutulia kwa ajili ya kushughulikia biashara zake kwanza ndo maana yeye katika akili zake anadhani kaporomoka.... simlaumu kwa vile labda haelewi kuwa mzikk umekaa km ulivo mfumo wa hisa... kuna kipindi Kendrick lamar alikuwa juu sana mpka kudhani labda kampita J-Zee lakin ushawahi sikia hili likiongelewa? Hii n kwa sababu kuna watu wanaojua mziki wanaelewa ipo hivo kwanini.... ni sawa na leo wanavomrate cardi B kumlinganisha na nicki minaj... unadhani thamani ya nicki itakuwa imeshuka sababu ya cardi B? Hapana... kila mtu yupo kwny ubora wake na thamani ileile
 
Nimesoma maoni ya watu mbalimbali waliokuwa wakichangia hoja humu nikaja kugundua kuna shida kubwa sana ya uelewa... kuna mtu kaongelea kuhusu diamond kufanya kolabo na wasanii wake wa wasafi kuwa anatembelea nyota yao... hv ni nani asiyejua kuwa ile timu yote ni nguvu ya diamond? Na kuhusu kolabo nafikiri hilo lilikuwa limepangwa ili kuwatangaza zaidi wasanii wake. Na ni kolabo nne tu kafanya mpka sasa. Ni nani asiye na taarifa kuhusiana na kwangwaru ilivomwinua harmonize na kuwa msanii mkubwa sana Tz na East africa? Na vip kuhusu jibebe ya kina lavalava na mbosso? Mwanza je? Na hii Tetema??? 🤗🤗🤗

Tukija kuangalia upande wa kuhusu kutotoa ngoma zake binafsi.... hivi ni msanii gani mnayemfahamu ambaye ametoa album afu bado anaachia nyimbo nyingine kabla hata mwaka haujaisha? Ni mwezi wa tatu tu mwaka jana katoka kuachia album yake ya a boy from tandale na bado inafanya poa kimataifa... sasa kwanini ajihangaishe kutoa nyimbo nyingine wakati bado zile zinamweka kwenye chart? Mwanadada Rihanna toka mwaka 2015 hajatoa wimbo mpya mpaka leo zaidi ya kolabo, je kashuka au kachuja???🙇🙇🙇

Kuhusu swala la show sidhani kama kuna mtanzania asiyejua sakata la kufungiwa na basata... ni mwezi huo wa kwanza tu diamond kakosa show sababu ya kufungiwa lakin inaonekana kama ni mwaka mzima... hii ni kwa vile watu washazoea ile mwaka jana kila mwezi alikuwa na show....

Kuhusu hoja ya mwandishi ya kujaza 02 arena... ni wasanii wangapi washawahi jaza huo uwanja? Hata wazungu huwa inawafua dafu.... pengine ikija kismati cha mondi atajaza... sababu sio jambo la ajabu sababu haya mambo ya 20k+ mond kayafanya sana... sema kosa ni kuwa alifanyia bongo hapahapa kwny "diamonds are forever" ndo maana imekuwa sio historia....
 
Back
Top Bottom