Ni yule yule sema 2014-2015 ilichagizwa sana na matuzo na mwenyewe alikuwa limbukeni sana wa matuzo na ndio maana, ilikuwa hata akiwa nominated kwenye AFRIMA, ilikuwa ni full vurugu za kuomba kura huko Instagram hadi alipoambiwa achana na hayo mambo! Kama ni tuzo na mashabiki unao, utapigwa tu kura!!! Sasa ile mizuka ya tuzo naona ni kama imepungua sana, kiasi kwamba hata majuzi nikajiuliza hivi tuzo kama MTV MAMA na MTV EMA bado zilifanyika mwaka jana na mwaka juzi?Kuna vitu vingi umepuyanga
Ila una point diamond wa 2015,2014 sio huyu wa sasa..jamaa kashuka sana
JamiiForums mobile app
Hizi tuzo zilileta amsha amsha sana ya muziki wa bongo!