Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

Muda mwingine kukaa kimya pia inasaidia uonekane mwelevu kuliko kupiga kelele zitakazokufanya watu washindwe kujua kuwa wewe ni Chizi au Mwendazimu.

Sio lazima kila mtu awe mchambuzi wa Soka hapa Duniani. Unaweza ukawa Mchambuzi wa Nywele za dada zako, utakuwa umefanya la maana kuliko kujifanya unachambua Soka ambapo huwezi.

Wewe Mama unaonesha una Chuki na Liverpool, soon utajifungua kwa uchungu unaokupata unapoona Liverpool wanashinda.

All in all, Pole sana dada kwa Matokeo ya game ya Leicester Vs Liverpool. Subiria hizo mechi Sita unazoota.
 
Nakusubiri uamke..
Ni saa kumi na nusu alfajiri USHAAMKA..??

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina haja ya kumuita mama, sijui atajifungua kwa uchungu, na mapovuu meengi, hili ni soka, soka ni burudani, na tambo za mashabiki kama hawa ndio zinafanya burudani inakolea. Haina haja ya matusi, yeye hakutukana kwa nini wewe umtukane?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwahiyo ulitaka niandikaje labda?

Nadhani wewe ni mgeni wa Jamii Forum na inawezekana hufahamu kuwa JF inaendeshwa kwa Sheria na Taratibu.

Kwa mtazamo wako ningekuwa nimetukana hadi sasa hivi ningekuwa sijakula "Ban" au wewe unafahamu sheria zaidi kuliko Mods?

Unaweza kunionesha tusi nililotukana hapo juu? Kitulize basi!!!
 
Sawa mama,
 
Tangu siku Liverpool inacheza na Flamingo unatabir pumba kwa Liverpool!
Wewe demu inabidi utafte mume kwanza uolewe, ili akili yako iwe ya kibinadam
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…