Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

In your opinions. kibongo bongo kila mtu ni mtabiri sababu asilimia kubwa watu wanapenda kutabiriwa.
 
Vipi umeshazinduka? Au bado umezimia?
Kama umezinduka ngoja niwaite Firmino na Trent Alexander uzimie tena!
Wivu wako kwa Liverpool utakonda bure! Hao ni mabingwa wa dunia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu Jana SAA 12:15 hajatia mguu hapa JF, labda anatumia ID nyingine! Yuko anaugulia maumivu!
 
Unaweza kuta huyu mtaani kwao anaaminika sana kwa utabariri, na yeye ndio mchambuzimahili. Hata singeri nayo mchezo tunaweza anza kuwachambua Man Fongo na Mzee wa Bwax, hayo mengine tuwaachie wataalam
 
Kuna ule wa yule bwege mwingine alitabiri kwamba liverpool hawezi kumfunga Flamengo, niliona Kuna mtu alioa ushauri ya kwamba kuna watu wanapewa kubaki kuwa watabili wa mvua tu, nashangaa sijui huyu boya katoka wapi tena na uchuzi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…