Kuangukiwa, kupondwa na kuuwawa na Msalaba ni kifo chema ?

Wakatoliki huwa wanaomba wafe kifo chema, je kuangukiwa na kupondwa na Msalaba Kanisani wakati wa Misa ni kifo chema ?

Wenzao Waislamu wanasema mtu kufia Msikitini wakati anaswali bila kusaidiwa na yoyote ni kifo chema !
View attachment 3694882
Unadhani ukiwa kwa Mungu ndio mambo yatakuwa soft soft,kwani Yesu alikufa kifo gani fatilia na wanafunzi wake wengi walikatwa vichwa usipende kutumia mambo ya Mungu kupima uwezo wa Mungu.
 
Kifo huwa hakichagui namna ya kumpata mtu. Sisi binadamu ndio huwa tunaweka interpretations zetu juu ya mambo ya asili (nature) na mambo ya kujisababishia wenyewe.

Padri hakufa eti kisa ni muujiza bali ni ajali kama anaegongwa na gari au boda.

Hayo mengine yote ni presumptions na uwezo mdogo wa fikra za binadamu baadhi (ukinitoa mimi).

What if huo msalaba ulikuwa na years tokea umefungwa hapo ukutani na haujawahi kufanyiwa maintenance. Kisha juu ya engineering design ukawa centered na pulpit for spiritual or engineering reasons?

Kisha after some natural causes, shakes, wearing and rust siku hiyo ndio ukaanguka by coincidence?

Kilichotokea ni ajali tu wala hakina maana yoyote nje ya science.

Utasikia report ya doctor na investigators kama itataja mambo ya kiimani niite mbwa.

Nimekaa pale 👇
 
Unao ushahidi yesu alikufa ?
 
Huo msalaba uliwekwa hapo wa kazi gani? Hivi ungaliwekwa mdogo tu au usingaliwekwa ungalipunguza kitu gani kanisani?
 
Nawaza huyo Padre angefia gesti ingekuwaje kuna watu huwa wana reasoning kiajabu sana!
 
Uyo paroko alikua fisadi na waumini wake walikua wanamtuhumu kwa wizi wa pesa za kanisa na waumini wake wana amini ni Mungu amejibu maombi yao kwa kumuondoa paroko fisadi tena mbele ya arutare
 
Wakatoliki huwa wanaomba wafe kifo chema, je kuangukiwa na kupondwa na Msalaba Kanisani wakati wa Misa ni kifo chema ?

Wenzao Waislamu wanasema mtu kufia Msikitini wakati anaswali bila kusaidiwa na yoyote ni kifo chema !
View attachment 3694882
Suratul Aal-Imran (3:85)
وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ
“Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa wenye hasara.”
 
Huo msalaba uliwekwa hapo wa kazi gani? Hivi ungaliwekwa mdogo tu au usingaliwekwa ungalipunguza kitu gani kanisani?
Iman za watu tu. Udogo na ukubwa unategemea na structure ya kitu kama kanisa lingekuwa ni chapel kungekuwa na msalaba miniature sawa way mecca kuna jiwe linabusiwa na hundreds at once
 
Back
Top Bottom