Marko 15:33-47
Huyo anayesema kwenye hiyo Marko 15.33-47 ni Nani ?
Marko 15:33-47
Ukipata wakati usisahau ni Nani huyo anayetoa hadithi hii ya Marko 15: 33-47 ???Marko 15:33-47
Kifo kibaya ni kufa wakati bado unamshirikisha Mungu. Yaani unaabudu kiumbe aliyeumbwa na Mungu. Kosa la shirki kaweka wazi hasamehe. Makosa mengine anaweza kukusamehe akitakaNaam kifo chema. Imagine mwengine anafia Baa au kwenye hali ya Ulevi.
Embu acheni matusi na mihemko tumjibu mleta mada.
Mimi naona ni mkosi,,,Siku za mwisho zimekaribia.
Viongozi wengi WA dini ni machukizo mbele za Mungu kwa sababu hawaishi maisha ya kujiweka wakfu kwa Mungu aliyewatuma kazi .
Yani kwa kifupi wao Ndo wanapoteza kondoo WA bwana.
... au kuuchora tu!Jiwe la maka halijaanguka likauwa padri. Hivi imani ya kikiristo itapunguwa au kutoweka kwa kuufanya msalaba kuwa mdogo au kwa kutokuuweka kabisa?