IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
mawinguni tenaNjia ya kufika mawinguni kwa baba na njia ya kwenda kula bikira 72 na kugida pombe ni kufa tu..!! Hivyo vifo vyote ni vyema..
mawinguni tenaNjia ya kufika mawinguni kwa baba na njia ya kwenda kula bikira 72 na kugida pombe ni kufa tu..!! Hivyo vifo vyote ni vyema..
Kufia kwenye dhambi hapo umemrahisishia malaika wa kuhesabu dhambi zako maana umefia kwenye kidhibitiTatizo hapo n ipi?
Kufia kanisani/msikitini n tiketi ya kuonekana mwema?Kufia kwenye dhambi hapo umemrahisishia malaika wa kuhesabu dhambi zako maana umefia kwenye kidhibiti
Ni kiashiria.Kufia kanisani/msikitini n tiketi ya kuonekana mwema?
Ukipata wasaa unaweza kuichekiBahati mbaya hiyo movie/series sijawahi kuicheki.
Akili hunaNi kiashiria.
Haiwezi kufanana na mtu aliyefia kitambaa cheupe
Mkuu hii video ni Izrail au merkani maana huko si nasikia kuna w^senge wengi sana japokuwa naona hapo ni kama Waarabu?😆😆😆😂😂😂👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
View attachment 3694917
30+% ya wanaoingia kwa huyo tapeli ni waislam usijifurahishe wale wajinga wajinga unaowaona wakimsikiliza huyo bwana ni asilimia ndogo sana kwenye jamii ya Kikristo.Sema wakiristo hawana akili
Lete please Kama upo ushahídi tele Kama unavyojimwambafaiUshahidi upo tele, kuna vyanzo huru vinne (4) vinavyozungumzia kifo cha Yesu
Ndio maana huwaona Hao unaosema waislamu huwa wamevaa misalaba?30+% ya wanaoingia kwa huyo tapeli ni waislam usijifurahishe wale wajinga wajinga unaowaona wakimsikiliza huyo bwana ni asilimia ndogo sana kwenye jamii ya Kikristo.
Kumbe hilo jiwe la maka ni kubwa Kama msalaba ulioanguka ?Iman za watu tu. Udogo na ukubwa unategemea na structure ya kitu kama kanisa lingekuwa ni chapel kungekuwa na msalaba miniature sawa way mecca kuna jiwe linabusiwa na hundreds at once
Jiwe la maka halijaanguka likauwa padri. Hivi imani ya kikiristo itapunguwa kwa kuufanya msalaba kuwa mdogo au kwa kutokuuweka kabisa?Iman za watu tu. Kwani kubusu jiwe Mecca nani aliwahi kuhoji?
Jiwe la maka halijaanguka likauwa padri. Hivi imani ya kikiristo itapunguwa kwa kuufanya msalaba kuwa mdogo au kwa kutokuuweka kabisa.Iman za watu tu. Kwani kubusu jiwe Mecca nani aliwahi kuhoji?
Jiwe la maka halijaanguka likauwa padri. Hivi imani ya kikiristo itapunguwa au kutoweka kwa kuufanya msalaba kuwa mdogo au kwa kutokuuweka kabisa?Iman za watu tu. Kwani kubusu jiwe Mecca nani aliwahi kuhoji?
Mimi nisingalisema kitu hata Kama ungalianguka tu bila kuuwa mtu nisingalisema kituKwani usingeanguka wewe ungeongelea nini?
Hakuna kifo chema. Kifo ni kifo tu. Yule aliyegongwa na msalaba ni funzo pia kwa designer wa majengo waache kuweka mavitu mazito sehemu hatarishi kama zile. Watakuwa wanaweka ya plastiki sasa hiviWakatoliki huwa wanaomba wafe kifo chema, je kuangukiwa na kupondwa na Msalaba Kanisani wakati wa Misa ni kifo chema ?
Wenzao Waislamu wanasema mtu kufia Msikitini wakati anaswali bila kusaidiwa na yoyote ni kifo chema !
View attachment 3694882
Mbona Mimi sijaona andiko lolote lenye ushahidi wa kifo cha yesu? Kama umeona tuwekee pleaseNdio Kulingana na maandiko alizaliwa ,akazikwa akafufuka katika wafu.
Marko 15:33-47Mbona Mimi sijaona andiko lolote lenye ushahidi wa kifo cha yesu? Kama umeona tuwekee please