Unadhani ukiwa kwa Mungu ndio mambo yatakuwa soft soft,kwani Yesu alikufa kifo gani fatilia na wanafunzi wake wengi walikatwa vichwa usipende kutumia mambo ya Mungu kupima uwezo wa Mungu.Wakatoliki huwa wanaomba wafe kifo chema, je kuangukiwa na kupondwa na Msalaba Kanisani wakati wa Misa ni kifo chema ?
Wenzao Waislamu wanasema mtu kufia Msikitini wakati anaswali bila kusaidiwa na yoyote ni kifo chema !
View attachment 3694882
Oya wee uumbwa mgerasi.We mbusii
Mbusii njoo ujenge nchi acha kuchamba vizee huko Scandnavia kenge wewe, umbwaaa.Oya wee uumbwa mgerasi.
Unao ushahidi yesu alikufa ?Unadhani ukiwa kwa Mungu ndio mambo yatakuwa soft soft,kwani Yesu alikufa kifo gani fatilia na wanafunzi wake wengi walikatwa vichwa usipende kutumia mambo ya Mungu kupima uwezo wa Mungu.
Huo msalaba uliwekwa hapo wa kazi gani? Hivi ungaliwekwa mdogo tu au usingaliwekwa ungalipunguza kitu gani kanisani?Kifo huwa hakichagui namna ya kumpata mtu. Sisi binadamu ndio huwa tunaweka interpretations zetu juu ya mambo ya asili (nature) na mambo ya kujisababishia wenyewe.
Padri hakufa eti kisa ni muujiza bali ni ajali kama anaegongwa na gari au boda.
Hayo mengine yote ni presumptions na uwezo mdogo wa fikra za binadamu baadhi (ukinitoa mimi).
What if huo msalaba ulikuwa na years tokea umefungwa hapo ukutani na haujawahi kufanyiwa maintenance. Kisha juu ya engineering design ukawa centered na pulpit for spiritual or engineering reasons?
Kisha after some natural causes, shakes, wearing and rust siku hiyo ndio ukaanguka by coincidence?
Kilichotokea ni ajali tu wala hakina maana yoyote nje ya science.
Utasikia report ya doctor na investigators kama itataja mambo ya kiimani niite mbwa.
Nimekaa pale 👇
Ndio Kulingana na maandiko alizaliwa ,akazikwa akafufuka katika wafu.Unao ushahidi yesu alikufa ?
Kwani usingeanguka wewe ungeongelea nini?Huo msalaba uliwekwa hapo wa kazi gani? Hivi ungaliwekwa mdogo tu au usingaliwekwa ungalipunguza kitu gani kanisani?
Nawaza huyo Padre angefia gesti ingekuwaje kuna watu huwa wana reasoning kiajabu sana!Kifo huwa hakichagui namna ya kumpata mtu. Sisi binadamu ndio huwa tunaweka interpretations zetu juu ya mambo ya asili (nature) na mambo ya kujisababishia wenyewe.
Padri hakufa eti kisa ni muujiza bali ni ajali kama anaegongwa na gari au boda.
Hayo mengine yote ni presumptions na uwezo mdogo wa fikra za binadamu baadhi (ukinitoa mimi).
What if huo msalaba ulikuwa na years tokea umefungwa hapo ukutani na haujawahi kufanyiwa maintenance. Kisha juu ya engineering design ukawa centered na pulpit for spiritual or engineering reasons?
Kisha after some natural causes, shakes, wearing and rust siku hiyo ndio ukaanguka by coincidence?
Kilichotokea ni ajali tu wala hakina maana yoyote nje ya science.
Utasikia report ya doctor na investigators kama itataja mambo ya kiimani niite mbwa.
Nimekaa pale 👇
Suratul Aal-Imran (3:85)Wakatoliki huwa wanaomba wafe kifo chema, je kuangukiwa na kupondwa na Msalaba Kanisani wakati wa Misa ni kifo chema ?
Wenzao Waislamu wanasema mtu kufia Msikitini wakati anaswali bila kusaidiwa na yoyote ni kifo chema !
View attachment 3694882
Bahati mbaya hiyo movie/series sijawahi kuicheki.Scars
Vincenzo Jr
Hili tukio mbona kama la kwenye
Wakeup dead: knives out mystery? Hakuna mkono watu?
Ajabu mno watu wasiokuwa na common senseNawaza huyo Padre angefia gesti ingekuwaje kuna watu huwa wana reasoning kiajabu sana!
Iman za watu tu. Kwani kubusu jiwe Mecca nani aliwahi kuhoji?Huo msalaba uliwekwa hapo wa kazi gani? Hivi ungaliwekwa mdogo tu au usingaliwekwa ungalipunguza kitu gani kanisani?
Iman za watu tu. Udogo na ukubwa unategemea na structure ya kitu kama kanisa lingekuwa ni chapel kungekuwa na msalaba miniature sawa way mecca kuna jiwe linabusiwa na hundreds at onceHuo msalaba uliwekwa hapo wa kazi gani? Hivi ungaliwekwa mdogo tu au usingaliwekwa ungalipunguza kitu gani kanisani?
Huu ni mkono wa watu kaka😄😁😁Scars
Vincenzo Jr
Hili tukio mbona kama la kwenye
Wakeup dead: knives out mystery? Hakuna mkono watu?