Kuangukiwa, kupondwa na kuuwawa na Msalaba ni kifo chema ?

Muislamu anamcheka Mkatoliki kwa kuheshimu sanamu la Bikira Maria, lakini yeye anakwenda Makka kulibusu Jiwe Jeusi na kumrushia Shetani mawe. Wakristo nao wanawashangaa Waislamu, huku kila upande ukiamini imani yake ndiyo sahihi.
Mwisho wa siku, chizi anamcheka chizi mwenzake.
Hizi dini zimezidiana kiwango cha ujinga,ila kuna moja imezidi ujinga
 
Embu acheni matusi na mihemko tumjibu mleta mada.

Mimi naona ni mkosi,,,Siku za mwisho zimekaribia.

Viongozi wengi WA dini ni machukizo mbele za Mungu kwa sababu hawaishi maisha ya kujiweka wakfu kwa Mungu aliyewatuma kazi .
Yani kwa kifupi wao Ndo wanapoteza kondoo WA bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…