Kuanza juzi helicopter ya jeshi inafanya doria Arumeru, ila leo haipoi Aisee

Kubwjing

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
3,289
Reaction score
5,964
Asalaam Aleykhum Warahmatullah..

Leo hii kuna doria ya Jeshi yaelekea kuna wahalifu wameshawatukia, kwasababu inapita kimo cha chini na ni muda wote tangu asubuhi mapema

Ni maeneo ya Mt. Meru kuelekea Tengeru

Hata hivyo jana Wananchi Tengeru, Morombo na Ngaramtoni waliandamana wakidai wanataka miili ya ndugu zao wakaizike wenyewe

Kwa Arusha mpaka sasa hali haijakaa vizuri
 
Asalaam Aleykhum Warahmatullah..

Leo hii hii doria ya Jeshi yaelekea kuna wahalifu wameshawatukia, kwasababu inapita kimo cha chini na ni muda wote tangu asubuhi mapema

Ni maeneo ya Mt. Meru kuelekea Tengeru

Hata hivyo jana Wananchi Tengeru, Morombo na Ngaramtoni waliandamana wakidai wanataka miili ya ndugu zao wakaizike wenyewe

Kwa Arusha mpaka sasa hali haijakaa vizuri so Usijichanganye vibaya
Unamaanisha nini usijichanganye vibaya? Kuna kujichanganya vizuri?
 
Asalaam Aleykhum Warahmatullah..

Leo hii hii doria ya Jeshi yaelekea kuna wahalifu wameshawatukia, kwasababu inapita kimo cha chini na ni muda wote tangu asubuhi mapema

Ni maeneo ya Mt. Meru kuelekea Tengeru

Hata hivyo jana Wananchi Tengeru, Morombo na Ngaramtoni waliandamana wakidai wanataka miili ya ndugu zao wakaizike wenyewe

Kwa Arusha mpaka sasa hali haijakaa vizuri so Usijichanganye vibaya
Litungueni lisiwasumbue.
 
Watafute hata nyungo za usiku ziwe zinaznguka usiku kucha bila kukaa chini na kutafuta maridhiano ni kazi buree
 
Ngoja waoneshwe kichaa cha wameru na waarusha.
 
Hata hivyo jana Wananchi Tengeru, Morombo na Ngaramtoni waliandamana wakidai wanataka miili ya ndugu zao
Uongo hamna wananchi wa Arusha walioandamana jana, kwanza mimi nilikua Mianzini nikaona mtandaoni wanasema mianzini kuna maandamano wakati hamna, hivyo hivyo watu wa mianzini wanasema kwa Morombo kuna maandamano wakati hakuna.

Ni taarifa za uongo .
 
Mimi nilikuwa Tengeru na Wameandamana tena wengi
 
Back
Top Bottom