Kuanza juzi helicopter ya jeshi inafanya doria Arumeru, ila leo haipoi Aisee

Kuanza juzi helicopter ya jeshi inafanya doria Arumeru, ila leo haipoi Aisee

Hayo sio maandamano ni kwamba watu wamekusanyika wanadai miili ya watu wao.

Hata mloganzila jana ilikua the same, kulikua na defender nyingi zinapita kwenda huko.

Watu hawataki vurugu wala maneno wanataka miili ya ndugu zao wakazike

Hivi hamsikii kitu gani?
 
Si wawape watu maiti zao wakazike? Kwani shida nn??
 
Si wawape watu maiti zao wakazike? Kwani shida nn??
Shida ni kuwa watu wakikuta ndugu zao wana majeraha ya risasi hapatakalika, na Pia ni wengi hivyo itaibua hasira za wananchi
 
Shida ni kuwa watu wakikuta ndugu zao wana majeraha ya risasi hapatakalika, na Pia ni wengi hivyo itaibua hasira za wananchi
Wasi wasi wao tYuuu, watu wanataka kuhifadhi maiti ya ndugu zao kwa taratibu za kikwao.
 
Back
Top Bottom