Unamaanisha nini usijichanganye vibaya? Kuna kujichanganya vizuri?Asalaam Aleykhum Warahmatullah..
Leo hii hii doria ya Jeshi yaelekea kuna wahalifu wameshawatukia, kwasababu inapita kimo cha chini na ni muda wote tangu asubuhi mapema
Ni maeneo ya Mt. Meru kuelekea Tengeru
Hata hivyo jana Wananchi Tengeru, Morombo na Ngaramtoni waliandamana wakidai wanataka miili ya ndugu zao wakaizike wenyewe
Kwa Arusha mpaka sasa hali haijakaa vizuri so Usijichanganye vibaya
Litungueni lisiwasumbue.Asalaam Aleykhum Warahmatullah..
Leo hii hii doria ya Jeshi yaelekea kuna wahalifu wameshawatukia, kwasababu inapita kimo cha chini na ni muda wote tangu asubuhi mapema
Ni maeneo ya Mt. Meru kuelekea Tengeru
Hata hivyo jana Wananchi Tengeru, Morombo na Ngaramtoni waliandamana wakidai wanataka miili ya ndugu zao wakaizike wenyewe
Kwa Arusha mpaka sasa hali haijakaa vizuri so Usijichanganye vibaya
Wenye mamlaka wanafanya jambo jepesi liwe gumuWapewe ndg zao wawazike shida nini?
Hatari kwa nani? Watawala au wananchi?Wakipewa ndio hali itakuwa hatari zaidi endapo watakuwa wana majeraha
Hawawezi kuwapa,wangekuwepo wangewapa hizo maiti wakazike,,,maiti wamezipeleka kusikojulikana, na hili ni kosa kubwa sana walilolifanya,hawakufikiria itakuwaje,,wamezika watoto wa watu kama mbwaAisee huu mtiti umeanza mapema kabla ya 9dec.
Wapewe ndg zao wawazike shida nini?
Bora kinuke ili twende kwenye meza ya maridhiano tukiwa tunaheshimianaVita itaanza upya, jana walikuwa na silaha za jadi na walikuwa wengi mno
Uongo hamna wananchi wa Arusha walioandamana jana, kwanza mimi nilikua Mianzini nikaona mtandaoni wanasema mianzini kuna maandamano wakati hamna, hivyo hivyo watu wa mianzini wanasema kwa Morombo kuna maandamano wakati hakuna.Hata hivyo jana Wananchi Tengeru, Morombo na Ngaramtoni waliandamana wakidai wanataka miili ya ndugu zao
Mimi nilikuwa Tengeru na Wameandamana tena wengiUongo hamna wananchi wa Arusha walioandamana jana, kwanza mimi nilikua Mianzini nikaona mtandaoni wanasema mianzini kuna maandamano wakati hamna, hivyo hivyo watu wa mianzini wanasema kwa Morombo kuna maandamano wakati hakuna.
Ni taarifa za uongo .