The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Hawana hizo maiti inasemekana zimezikwa kwenye makaburi ya pamoja.Wenye mamlaka wanafanya jambo jepesi liwe gumu
Wasi wasi wao tYuuu, watu wanataka kuhifadhi maiti ya ndugu zao kwa taratibu za kikwao.Shida ni kuwa watu wakikuta ndugu zao wana majeraha ya risasi hapatakalika, na Pia ni wengi hivyo itaibua hasira za wananchi