Kuanza kupewa Escort na Ulinzi wa TISS kwaanza kumpa kiburi Emmanuel Nchimbi

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.

Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi CCM cha kuwanyanyasa wananchi ili wasipate mabadiliko ya kweli kwa maendeleo yao.

Tangu ateuliwe kuwa Mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi, katibu Mkuu wa CCM amepewa ulinzi rasmi wa TISS ikiwemo gari la kuambatana na Msafara wake lenye taa za kiisalama yanayotumiwa na kikosi cha Ulinzi wa Viongozi kilicho TISS (PSU).

Kuanza kulamba asali huku, kumemfanya Nchimbi kuanza kiburi na kwa sabau anajua yeye ndo anaenda kuwa Makamu wa Rais uchaguzi ukifanyika ameanza kuongea kwa kebehi kuwa Uchaguzi ni suala la Katiba ambalo haliwezi kuahirishwa.

Nchimbi anaongea huu upotoshaji kwa sababu anajua ni kipindi chake cha kula mema ya nchi. Anajua kuwa uchaguzi ukiahirishwa Bw. Isdor Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hivyo yeye atapishana na gari la Mshahara.

Bahati mbaya sana Nchimbi anadhihirisha kuwa CCM wana Katibu Mkuu ambaye hajui kuwa Katiba pia imeweka mazingira ambayo Uchaguzi unaweza kuahirishwa.

Kila siku nitazidi kusema, tusahau maendeleo ya kweli chini ya CCM hii.
 
Kweli kuna kazi kama hoja ni hizi!
 
CCM hawajui kuwa kuna Mungu anayeweka watawala juu ya nchi .

CCM itaanguka na haitasimama tena kwa sababu wmesubiri mpaka wananchi wengi wameichoka ?
 
Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.

Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi CCM cha kuwanyanyasa wananchi ili wasipate mabadiliko ya kweli kwa maendeleo yao.

Tangu ateuliwe kuwa Mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi, katibu Mkuu wa CCM amepewa ulinzi rasmi wa TISS ikiwemo gari la kuambatana na Msafara wake lenye taa za kiisalama yanayotumiwa na kikosi cha Ulinzi wa Viongozi kilicho TISS (PSU).

Kuanza kulamba asali huku, kumemfanya Nchimbi kuanza kiburi na kwa sabau anajua yeye ndo anaenda kuwa Makamu wa Rais uchaguzi ukifanyika ameanza kuongea kwa kebehi kuwa Uchaguzi ni suala la Katiba ambalo haliwezi kuahirishwa.

Nchimbi anaongea huu upotoshaji kwa sababu anajua ni kipindi chake cha kula mema ya nchi. Anajua kuwa uchaguzi ukiahirishwa Bw. Isdor Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hivyo yeye atapishana na gari la Mshahara.

Bahati mbaya sana Nchimbi anadhihirisha kuwa CCM wana Katibu Mkuu ambaye hajui kuwa Katiba pia imeweka mazingira ambayo Uchaguzi unaweza kuahirishwa.

Kila siku nitazidi kusema, tusahau maendeleo ya kweli chini ya CCM hii.
Acha wivu maku wewe, baba yako angepata nafasi kama hiyo ungeleta uzi km huu?
 
Mimi binafsi naamini Hayati Mwalimu Nyerere alipobainisha maadui wakuu wa taifa alisahau kuanza na CCM

Adui namba moja wa maendeleo ya nchi yetu ni CCM
 
Mchimbi ni mtu mnyenyekevu sana, ni mtu asiekuwa na ghilba wala kiburi. Nitashangaa sana kama amebadirika.
Madaraka yanalevya vibaya sana. Ni binadamu wachache sana wameweza kubakia kuwa wanyenyekevu hata baada ya kupata madaraka.
 
Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.

Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi CCM cha kuwanyanyasa wananchi ili wasipate mabadiliko ya kweli kwa maendeleo yao.

Tangu ateuliwe kuwa Mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi, katibu Mkuu wa CCM amepewa ulinzi rasmi wa TISS ikiwemo gari la kuambatana na Msafara wake lenye taa za kiisalama yanayotumiwa na kikosi cha Ulinzi wa Viongozi kilicho TISS (PSU).

Kuanza kulamba asali huku, kumemfanya Nchimbi kuanza kiburi na kwa sabau anajua yeye ndo anaenda kuwa Makamu wa Rais uchaguzi ukifanyika ameanza kuongea kwa kebehi kuwa Uchaguzi ni suala la Katiba ambalo haliwezi kuahirishwa.

Nchimbi anaongea huu upotoshaji kwa sababu anajua ni kipindi chake cha kula mema ya nchi. Anajua kuwa uchaguzi ukiahirishwa Bw. Isdor Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hivyo yeye atapishana na gari la Mshahara.

Bahati mbaya sana Nchimbi anadhihirisha kuwa CCM wana Katibu Mkuu ambaye hajui kuwa Katiba pia imeweka mazingira ambayo Uchaguzi unaweza kuahirishwa.

Kila siku nitazidi kusema, tusahau maendeleo ya kweli chini ya CCM hii.
Hayana muda hayo ,kulikuwa na mtu ana ulinzi zaidi ya Trump lakini amepita.

1743779349835.png
 
Kwa nafasi yake aliyonayo muda huu Nchimbi ni kiongozi ambae angekuwa anaishi sekweni ugomvi na jirani, basi hatamuonea utaamuliwa na mwenyekiti wa mtaa na ataheshimu maamuzi hata kama sio in favour.

Nchimbi huyo-huyo huko juu kwa viongozi wenzake wenye nyadhifa mpelekee ujinga akunyeshwe dawa yako. Yeye atumii madaraka yake kwa raia wa kawaida tu, lakini kwa wajuaji ambao ni viongozi ni mtu mwingine.
 
Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.

Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi CCM cha kuwanyanyasa wananchi ili wasipate mabadiliko ya kweli kwa maendeleo yao.

Tangu ateuliwe kuwa Mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi, katibu Mkuu wa CCM amepewa ulinzi rasmi wa TISS ikiwemo gari la kuambatana na Msafara wake lenye taa za kiisalama yanayotumiwa na kikosi cha Ulinzi wa Viongozi kilicho TISS (PSU).

Kuanza kulamba asali huku, kumemfanya Nchimbi kuanza kiburi na kwa sabau anajua yeye ndo anaenda kuwa Makamu wa Rais uchaguzi ukifanyika ameanza kuongea kwa kebehi kuwa Uchaguzi ni suala la Katiba ambalo haliwezi kuahirishwa.

Nchimbi anaongea huu upotoshaji kwa sababu anajua ni kipindi chake cha kula mema ya nchi. Anajua kuwa uchaguzi ukiahirishwa Bw. Isdor Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hivyo yeye atapishana na gari la Mshahara.

Bahati mbaya sana Nchimbi anadhihirisha kuwa CCM wana Katibu Mkuu ambaye hajui kuwa Katiba pia imeweka mazingira ambayo Uchaguzi unaweza kuahirishwa.

Kila siku nitazidi kusema, tusahau maendeleo ya kweli chini ya CCM hii.
Kwamba anaongea ,kimakam ,kimakam ,kimakam wakati no reforms no election
 
We umechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom