Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Uzuri wananchi tumeshawajua kuwa hawapo kwa maendeleo yetu ya kweli bali matumbo yao na faida zao na familia zao.CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Kweli kuna kazi kama hoja ni hizi!Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.
Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi CCM cha kuwanyanyasa wananchi ili wasipate mabadiliko ya kweli kwa maendeleo yao.
Tangu ateuliwe kuwa Mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi, katibu Mkuu wa CCM amepewa ulinzi rasmi wa TISS ikiwemo gari la kuambatana na Msafara wake lenye taa za kiisalama yanayotumiwa na kikosi cha Ulinzi wa Viongozi kilicho TISS (PSU).
Kuanza kulamba asali huku, kumemfanya Nchimbi kuanza kiburi na kwa sabau anajua yeye ndo anaenda kuwa Makamu wa Rais uchaguzi ukifanyika ameanza kuongea kwa kebehi kuwa Uchaguzi ni suala la Katiba ambalo haliwezi kuahirishwa.
Nchimbi anaongea huu upotoshaji kwa sababu anajua ni kipindi chake cha kula mema ya nchi. Anajua kuwa uchaguzi ukiahirishwa Bw. Isdor Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hivyo yeye atapishana na gari la Mshahara.
Bahati mbaya sana Nchimbi anadhihirisha kuwa CCM wana Katibu Mkuu ambaye hajui kuwa Katiba pia imeweka mazingira ambayo Uchaguzi unaweza kuahirishwa.
Kila siku nitazidi kusema, tusahau maendeleo ya kweli chini ya CCM hii.
Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.

Acha wivu maku wewe, baba yako angepata nafasi kama hiyo ungeleta uzi km huu?Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.
Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi CCM cha kuwanyanyasa wananchi ili wasipate mabadiliko ya kweli kwa maendeleo yao.
Tangu ateuliwe kuwa Mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi, katibu Mkuu wa CCM amepewa ulinzi rasmi wa TISS ikiwemo gari la kuambatana na Msafara wake lenye taa za kiisalama yanayotumiwa na kikosi cha Ulinzi wa Viongozi kilicho TISS (PSU).
Kuanza kulamba asali huku, kumemfanya Nchimbi kuanza kiburi na kwa sabau anajua yeye ndo anaenda kuwa Makamu wa Rais uchaguzi ukifanyika ameanza kuongea kwa kebehi kuwa Uchaguzi ni suala la Katiba ambalo haliwezi kuahirishwa.
Nchimbi anaongea huu upotoshaji kwa sababu anajua ni kipindi chake cha kula mema ya nchi. Anajua kuwa uchaguzi ukiahirishwa Bw. Isdor Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hivyo yeye atapishana na gari la Mshahara.
Bahati mbaya sana Nchimbi anadhihirisha kuwa CCM wana Katibu Mkuu ambaye hajui kuwa Katiba pia imeweka mazingira ambayo Uchaguzi unaweza kuahirishwa.
Kila siku nitazidi kusema, tusahau maendeleo ya kweli chini ya CCM hii.
kifupi washenzi tu hawaUzuri wananchi tumeshawajua kuwa hawapo kwa maendeleo yetu ya kweli bali matumbo yao na faida zao na familia zao.
Madaraka yanalevya vibaya sana. Ni binadamu wachache sana wameweza kubakia kuwa wanyenyekevu hata baada ya kupata madaraka.Mchimbi ni mtu mnyenyekevu sana, ni mtu asiekuwa na ghilba wala kiburi. Nitashangaa sana kama amebadirika.
Hayana muda hayo ,kulikuwa na mtu ana ulinzi zaidi ya Trump lakini amepita.Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.
Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi CCM cha kuwanyanyasa wananchi ili wasipate mabadiliko ya kweli kwa maendeleo yao.
Tangu ateuliwe kuwa Mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi, katibu Mkuu wa CCM amepewa ulinzi rasmi wa TISS ikiwemo gari la kuambatana na Msafara wake lenye taa za kiisalama yanayotumiwa na kikosi cha Ulinzi wa Viongozi kilicho TISS (PSU).
Kuanza kulamba asali huku, kumemfanya Nchimbi kuanza kiburi na kwa sabau anajua yeye ndo anaenda kuwa Makamu wa Rais uchaguzi ukifanyika ameanza kuongea kwa kebehi kuwa Uchaguzi ni suala la Katiba ambalo haliwezi kuahirishwa.
Nchimbi anaongea huu upotoshaji kwa sababu anajua ni kipindi chake cha kula mema ya nchi. Anajua kuwa uchaguzi ukiahirishwa Bw. Isdor Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hivyo yeye atapishana na gari la Mshahara.
Bahati mbaya sana Nchimbi anadhihirisha kuwa CCM wana Katibu Mkuu ambaye hajui kuwa Katiba pia imeweka mazingira ambayo Uchaguzi unaweza kuahirishwa.
Kila siku nitazidi kusema, tusahau maendeleo ya kweli chini ya CCM hii.
Hukuwa umemjua nje ya madaraka makubwa, kwa sasa ndio utaijua tabia yake halisi.Mchimbi ni mtu mnyenyekevu sana, ni mtu asiekuwa na ghilba wala kiburi. Nitashangaa sana kama amebadirika.
Siku hizo haikuwepo.Mimi binafsi naamini Hayati Mwalimu Nyerere alipobainisha maadui wakuu wa taifa alisahau kuanza na CCM
Adui namba moja wa maendeleo ya nchi yetu ni CCM
Kwamba anaongea ,kimakam ,kimakam ,kimakam wakati no reforms no electionKuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.
Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi CCM cha kuwanyanyasa wananchi ili wasipate mabadiliko ya kweli kwa maendeleo yao.
Tangu ateuliwe kuwa Mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi, katibu Mkuu wa CCM amepewa ulinzi rasmi wa TISS ikiwemo gari la kuambatana na Msafara wake lenye taa za kiisalama yanayotumiwa na kikosi cha Ulinzi wa Viongozi kilicho TISS (PSU).
Kuanza kulamba asali huku, kumemfanya Nchimbi kuanza kiburi na kwa sabau anajua yeye ndo anaenda kuwa Makamu wa Rais uchaguzi ukifanyika ameanza kuongea kwa kebehi kuwa Uchaguzi ni suala la Katiba ambalo haliwezi kuahirishwa.
Nchimbi anaongea huu upotoshaji kwa sababu anajua ni kipindi chake cha kula mema ya nchi. Anajua kuwa uchaguzi ukiahirishwa Bw. Isdor Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hivyo yeye atapishana na gari la Mshahara.
Bahati mbaya sana Nchimbi anadhihirisha kuwa CCM wana Katibu Mkuu ambaye hajui kuwa Katiba pia imeweka mazingira ambayo Uchaguzi unaweza kuahirishwa.
Kila siku nitazidi kusema, tusahau maendeleo ya kweli chini ya CCM hii.
We umechanganyikiwaKuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.

Lione hili zuzuCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka, pigo takatifu.