Kuanza kupewa Escort na Ulinzi wa TISS kwaanza kumpa kiburi Emmanuel Nchimbi

Ccm mbele kwa mbele
 
kwani ule uchaguzi wa lowasa aliogomea kule dodoma haukuwa kwa mujibu wa katiba?
 
Upo miongoni mwa wanaokula asali ya watawala kaka? Embu onyesha kwa facts kwa kuchanganyikiwa kwa mleta mada? Na ukishindea hilo bhasi wewe ndio uliyechanganyikiwa.
Akikujibu nitagg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…