Kuanza project ya kuku Machi, 2023

Weka bidii utafanikiwa,Kila la heri kwako
 
Nashukuru kwa huu ushauri nitaufanyia kazi asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru nimejifunza kuchanganya chakula mwenyewe ila bado naendelea kujifunza hadi nipate formula konki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho tafadhari mtoa mada...

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Nilishaanza ingawa nilichelewa kupokea kuku wa mayai nimepokea may kwa sasa wana wiki 6.wapo vizuri sijakutana na changamoto yeyote hii kwa wa mayai.

Kwa kienyeji chotara nilipata changamoto kidogo madume ni mengi kuliko majike nimejikuta napata jike 13 out of 40 niliotegemea hivyo ninampango wa kuuza jogoo zilizozid.kati ya majike 13 napata mayai 11 kila siku nimekusanya mayai 80 hapa nitakusudia kupata vifaranga chotara walau 50 vya kutotolesha na sasa nakusanya ya kuuza
Kienyej pure pia hawajabaki nyuma wamenipa vifaranga 11 3moth now na 24 3weeks now.wanaongezeka taratib taratib.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ebu niambie starter umetumia mifungo mingp kwa idad kuku mia tano
 
USHAURI USHAURI.

Anza na kuku 250 au 300 badala ya kuku 550.

Kuku ni mradi usiokuwa na majibu ya 100% kabla ya kuanza na kuona uhalisia.

Mtandaoni huwezi kujifunza kila jambo.

Utakapoanza na kuku 250 kwako litakuwa darasa la vitendo.

Ukibahatika kuwakuza wote kwa pamoja itakuwa funzo na utakuwa umejifunza kipi umetumia kuwakuza wote.

Na ikitokea wamekufa pia utakuwa umejifunza wapi umekosea na kipi utarekebisha.

Unaweza kuanza na kuku 550 mambo yakaenda negative ukachanganikiwa kabisa.

HIVO NAKUSHAURI ANZA NA KUKU 250 AU 300 KWANZA.

katika maelezo yako yanaonesha huna uzoefu wa kufuga kuku wengi zaidi ya hao 60.

kuwa na eneo la kutosha ni kigezo kuwa cha uhakika kuwa hawatashambuliwa na changamoto kadhaa.

HIVO ANZA NA HAO WAKIFIKISHA MIEZI 4 au 5 ongeza waliobakia kufikia lengo lako la 550
 
ushawh kufga kuku. ,?
 
Ndiyo kuanzia home utotoni mzee alikuwa mfugaji kuku wa mayai na saiv pia ninafuga wa kienyeji pia
ndioo maaan watu wanafug ata kuku elf kum kaka na beginner kbs we mwambie tu afuge kuku hao mia tano ila awe krb na mfungaji mwenzake ampe abc au doctor wa wanyama

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…