Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaji mdogo kama shingapiNaomba uniambie ni kuku yupi ukimfuga unaweza kuona kipato, ukizingatia eneo ni dogo na mtaji mdogo?
Mtaji mdogo kama shingapi
Mabanda tayar unayo au ni bajeti hyohyoLaki tano
Mabanda tayar unayo au ni bajeti hyohyo
Kwa Laki 5Mapanda yapo
Kwa Laki 5
Chagua kufuga kuku saso
Utawalea wiki 8
Unauza
Agiza vifaranga silverland 100
Ni laki na nusu
Nunua chakula starter mifuko 3
Utawalisha week 3
Then tafta chakula cha kuwachanganyia mwenyewe, walishe weeke 5 mpk unauza
Kuku wauze kwa jumla elf 12 kwa mmoja
Km upo maeneo wanakouzwa broiler kwa wingi km dar na mwanza
Fuga broiler utawauza ndani ya 1month
NB; chukua mwez mzima kujifunza kwanza
Hapo itabidi uwafuge kuanzia miezi minne na KUENDELEAHawa saso siwezi kuuza mayai yao kabla ya kuwauza?
Hapo itabidi uwafuge kuanzia miezi minne na KUENDELEA
Na gharama za matunzo zitakuwa juu kulinganisha na mtaji wako wa 500k
Bado madawa na chanjo
lipo mkuuSoko lake vipi?