Kuanza project ya kuku Machi, 2023

Kuanza project ya kuku Machi, 2023

Mkuu umewahi kuwafuga na ukawauza baada ya miezi miwili
Naomba mkuu unipe ABC kuhusu Sasso kutokea day 1 Hadi miezi miwili nitumie mbinu gn Ili niweze kupata kuku wa kuja kuwauza baada ya miezi hiyo miwili hususani kwenye chakula na madawa chanjo n.k
 
Broiler na layers wako wapi wana faida kwenye utagaji?
 
Kuna anayefuga Sasso kibiashara anipe abc kuanzia uleaji wa vifaranga Hadi kuku mkubwa nitumie mbinu gn Ili niweze kupata faida sokoni
 
Naomba uniambie ni kuku yupi ukimfuga unaweza kuona kipato, ukizingatia eneo ni dogo na mtaji mdogo?
mtaji mdg ni broiler ilaa kuku wanakupa faid layers ila broiler unapata faid pia ila layers mtaji mkubwa
 
Back
Top Bottom