EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Huyu mwamba sijui kapotelea wapi asiee maana anatisha sanaUzi kuanzia alipo upost 2012....watu waliubeza na ukawa na comments kama 20 tu hadi ulipokuja kufukuliwa 2018...na unakimbiza comments sasa kuelekea buku
[emoji23][emoji23]hatari halafu zenyewe zinaandikaga nyuzi ambazo hazihitaji malikes wala comments za kibebish. Yaani nyuzi za kiyunani tu.Ogopa kabisa ID zilizoingia JF muda mrefu lakini posts zao Jukwaani hazizidi elfu moja.
====
Rais hawezi kushindwa kutimiza majukumu yake ya kikatiba na sera za Chama chake kisa tu wabaya wake watamuita majina 'udikteta'!
Akina Magamba matatuHaya mambo inaelekea yalishapangwa kitambo kabla hayajatokea,nachotaka kujua ni akina nani hawa wanatupangia muelekeo wa nchi.
Usifanye watia nia 2020 wakaanza kumkimbilia kupigiwa ramli.Huyu mtabiri tunaye hapa tz?
Usifanye watia nia 2025 wakaanza kumkimbilia kupigiwa ramli.
Aliyeandika huu uzi, ni mmoja wa watu waliokuwa wanaandaa plan ya Utawala mpya, na hakika wametimiza, hayo majina ilikua ni zuga ya kuwatoa kwenye Reli, Refer kauli ya Jakaya kuwa anakuja Rais Mkali, Hakika Wachina ni shida
Si kweli
Hongera sana mkuuIlikuwa ni mimi nimebadilisha id kwa sasa natumia hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Anatuchora tuu.View attachment 1240871
Angekua na kanisa muda ule now angekua anatapisha waumini na sadakaHuyu mwamba sijui kapotelea wapi asiee maana anatisha sana
Naona jamaa anasakwa kila pahala humu JF..., last seen yake kila wakati iko updated na wengine akina Thomaso aka the didymis wanafanya hadi screenshotLast seen Wednesday at 11:13 PM
Natambua ulijibu hii 2018 ila 2019 muda kama huu unajua kabisa ukipitia nyaraka hii hypothesis yako ilishatemandiye huyu mzee Yohana,hata kwenye kampeni akiwa Jukwaani,alikuwa anasema..'Jakaya anawabatiza kwa MAJI..'
lakini tazama nawaambieni..'huyu ajaye Hakika atawabatiza kwa MOTO.!!'
Nakusalimu kutoka pande za usangi...Haya ni mawazo yako , naweza kukuambia kuwa haya unayoyasema baadhi tao yapo sasa hivi , ubabe , kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na mengine , free mason kuongelewa na wapuuzi bila sababu za msingi , so hakuna jipya
Sikubaliani na wewe, baada ya 2015 kutakuwa na katiba mpaya ambayo haitampa raisi madaraka makubwa na kutakuwa na utawala wa sheria, pia kuwawajibisha wavivu siyo udikteta, swala la mashoga raisi hawezi kuwa na maamuzi nalo kwani litakuwa chini ya mahakama ya katiba kuamua, kumbuka wakati huo mahakama zitakuwa huru, tofauti na sasa.
Kuhusu kupola mali za mafisadi huenda hasifanye hivyo, badala yake akawasamehe, akaunda tume ya uwazi na ukweli ambayo itawahoji watakaohisiwa walikuwa mafisadi ili wasaidie kuzuia ufisadi usitokee kirahisi.
Rais ajae atakuwa na kazi ngumu sana, kwani kila idara ya nchi imeoza na hawezi kuwa na nguvu sana kisheria kama alivyo raisi wa sasa.