Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Ogopa kabisa ID zilizoingia JF muda mrefu lakini posts zao Jukwaani hazizidi elfu moja.
====
Rais hawezi kushindwa kutimiza majukumu yake ya kikatiba na sera za Chama chake kisa tu wabaya wake watamuita majina 'udikteta'!
[emoji23][emoji23]hatari halafu zenyewe zinaandikaga nyuzi ambazo hazihitaji malikes wala comments za kibebish. Yaani nyuzi za kiyunani tu.
 
Si kweli
Aliyeandika huu uzi, ni mmoja wa watu waliokuwa wanaandaa plan ya Utawala mpya, na hakika wametimiza, hayo majina ilikua ni zuga ya kuwatoa kwenye Reli, Refer kauli ya Jakaya kuwa anakuja Rais Mkali, Hakika Wachina ni shida
 
Anatuchora tuu.
2019_10_22_18.43.07.jpeg
 
ndiye huyu mzee Yohana,hata kwenye kampeni akiwa Jukwaani,alikuwa anasema..'Jakaya anawabatiza kwa MAJI..'

lakini tazama nawaambieni..'huyu ajaye Hakika atawabatiza kwa MOTO.!!'
Natambua ulijibu hii 2018 ila 2019 muda kama huu unajua kabisa ukipitia nyaraka hii hypothesis yako ilishatema
 
Habari gani Tanzania?
Sikubaliani na wewe, baada ya 2015 kutakuwa na katiba mpaya ambayo haitampa raisi madaraka makubwa na kutakuwa na utawala wa sheria, pia kuwawajibisha wavivu siyo udikteta, swala la mashoga raisi hawezi kuwa na maamuzi nalo kwani litakuwa chini ya mahakama ya katiba kuamua, kumbuka wakati huo mahakama zitakuwa huru, tofauti na sasa.

Kuhusu kupola mali za mafisadi huenda hasifanye hivyo, badala yake akawasamehe, akaunda tume ya uwazi na ukweli ambayo itawahoji watakaohisiwa walikuwa mafisadi ili wasaidie kuzuia ufisadi usitokee kirahisi.

Rais ajae atakuwa na kazi ngumu sana, kwani kila idara ya nchi imeoza na hawezi kuwa na nguvu sana kisheria kama alivyo raisi wa sasa.
 
Back
Top Bottom