Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
AiseeHao TRA wafanyakazi wao wanapenda rushwa hatari hata wakikukamata na mzigo hauna risiti.. hawakupeleki popote hata elf 2 wanachukua.. ovyo sana
Hata manual receipts dai,maana sio wafanyabiashara wote Wana qualify kupewa efd machines.Kwa wauzaji wenye sifa na wenye efd mashine
Cheka na nyani uvune mabua [emoji23][emoji23][emoji23]Ah jamani si tulikubaliana hatutumii mabavu awamu hii [emoji38][emoji38][emoji38]
Nimesoma uzi huu kama kweli ,ila nachojua mimi sheria haijasema lazima ufungwe kuna kulipa adhabu.Lakini pia kama wametoa tangazo hilo sioni ubaya maana wametupa tahadhari mapema ili tusikumbane na adha hiyo.Sioni ubaya wowote kama wameona watu hawatoi risiti au watu hawadai risiti mimi singojei mpaka waanze hata leo ntadai risiti yanguMamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti.
Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022.
Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha hapa JF.
Maendeleo hayana vyama!
Mamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti.
Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022.
Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha hapa JF.
Maendeleo hayana vyama!
nimekumbana na hili dude la tra nikaona tuhabarishane maana si mchezo risiti
Ah jamani si tulikubaliana hatutumii mabavu awamu hii 😆😆😆
LIPA KODI MKUUAh jamani si tulikubaliana hatutumii mabavu awamu hii 😆😆😆
Mamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti.
Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022.
Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha hapa JF.
Maendeleo hayana vyama!
Wamechelewa Sana kuleta hii kampeni..Mamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti.
Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022.
Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha hapa JF.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani hayo ni mabavu?Ah jamani si tulikubaliana hatutumii mabavu awamu hii 😆😆😆
Usitoe risiti na kudai risiti afu ufumwe ndio utajua hujui.Hakuna jipya….
Impact ya makusanyo kuboresha huduma za jamii speak louder than mabavu!
#Socialreturn
Kampeni ya kipindi kile haikuwalenga watu wa makundi yote bali wafanyabiashara na waliweza.Hao TRA kama walichemka kukamata watu wasio na risiti kipindi cha Magufuli sidhani kama kipindi cha huyu bibi wa kikojani wataweza.
Hivi kuna mmachinga anayetoa risiti?
Mali zao zitapigwa mnada,jela kufanya nini?Kama kweli wako serious basi nusu ya watanzania wote wataingia jela.
Na sijui kama tanzania itaweza kufunga na kulisha wafungwa million 30.
Seriously kwa mfumuko wa hovyo wa bei hichi kitu ni ngumu kumonitor kwa asilimia 100% na baada ya muda ni lazima wote walie.