Kuanzia Februari 01, 2022 ukinunua bidhaa dai risiti vinginevyo Jela itakuhusu. TRA kuendesha msako mkali sana nchi nzima

Kuanzia Februari 01, 2022 ukinunua bidhaa dai risiti vinginevyo Jela itakuhusu. TRA kuendesha msako mkali sana nchi nzima

Kama kweli wako serious basi nusu ya watanzania wote wataingia jela.
Na sijui kama tanzania itaweza kufunga na kulisha wafungwa million 30.

Seriously kwa mfumuko wa hovyo wa bei hichi kitu ni ngumu kumonitor kwa asilimia 100% na baada ya muda ni lazima wote walie.
 
Hao TRA wafanyakazi wao wanapenda rushwa hatari hata wakikukamata na mzigo hauna risiti.. hawakupeleki popote hata elf 2 wanachukua.. ovyo sana
 
Mamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti.

Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022.

Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha hapa JF.

Maendeleo hayana vyama!
Nimesoma uzi huu kama kweli ,ila nachojua mimi sheria haijasema lazima ufungwe kuna kulipa adhabu.Lakini pia kama wametoa tangazo hilo sioni ubaya maana wametupa tahadhari mapema ili tusikumbane na adha hiyo.Sioni ubaya wowote kama wameona watu hawatoi risiti au watu hawadai risiti mimi singojei mpaka waanze hata leo ntadai risiti yangu
 
Ndo hata sihangaiki hiyo task force inalipwa posho mie watanilipa uwazi kwenye kodi wanazokusanya hakuna shwain
 
Mamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti.

Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022.

Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha hapa JF.

Maendeleo hayana vyama!
tra.jpg
 
Kama jela ndio tegemeo la mwisho basi hakikisheni mnawalipa vizuri askari jela kuliko hali waliyonayo sasa
 
kwa wafanya biashara ili kepuka kadhia hiyo jiunge na mfumo wa DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).

Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, inapunguza garama mpaka 50%, hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.

Wasiliana nasi Dirm VFD kupiga au whtsp 0753688348
 
Mamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti.

Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022.

Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha hapa JF.

Maendeleo hayana vyama!
Wamechelewa Sana kuleta hii kampeni..

Wazunguke Miji yote watoe matangazo kwa magari Ili tusije kulaumiana.

IMG-20220130-WA0004.jpg
 
Hao TRA kama walichemka kukamata watu wasio na risiti kipindi cha Magufuli sidhani kama kipindi cha huyu bibi wa kikojani wataweza.
Hivi kuna mmachinga anayetoa risiti?
Kampeni ya kipindi kile haikuwalenga watu wa makundi yote bali wafanyabiashara na waliweza.

Kampeni ya Sasa ni wote hasa wanunuzi
 
Azimio hili na tangazo vilitolewa toka June 2021 ila utekelezaji na kujipanga ndio walikuwa bado.

Kwa hiyo sasa ndio wanataka waanze.👇

Screenshot_20220130-201734.png

Screenshot_20220130-201751.png
 
Kama kweli wako serious basi nusu ya watanzania wote wataingia jela.
Na sijui kama tanzania itaweza kufunga na kulisha wafungwa million 30.

Seriously kwa mfumuko wa hovyo wa bei hichi kitu ni ngumu kumonitor kwa asilimia 100% na baada ya muda ni lazima wote walie.
Mali zao zitapigwa mnada,jela kufanya nini?
 
Back
Top Bottom