mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Hayo ni makato madogo, lakini ki hesabu ni makubwa. Ni kati ya hela ambazo makampuni yanapata lakini serikali haikusanyi kodi. Utitri wa kampuni za simu ni baada ya kugundua mianya iliopo ya kukwepa kodiKuanzia Jana tigo wameanzisha tozo ya kuweza kuingia sim banking kwa kutumia mtandao wao, kwahivo kula ukitaka kuangalia salio, kutuma salio kwa simu banking lazma utoe 100 ndo uingie ndani.
Sasa sisi waalimu unakuta zamani unaangalia hata salio Mara 30 kucheki salary sijui itakuaje, kila pahala ni kukatwa
Si mlisema bwana yule anachukia matajiiri,,,sasa mrithi wake ameamua kuwachukia wanyonge!Khaaaa! ndiyo maana kila nilipotaka kufanya muamala kwa Benk kupitia mobile phone naletewa ujumbe unaoniambia salio halitoshi.Kweli mwaka huu mgumu.Yani kila mahali ni kibano tu.
Wabane kote ila sio access ya mke wangu nilipe tozo...Patachimbika![emoji23][emoji23][emoji23] nacheka utafikiri mazuri.
Mimi nadhani wabane zaidi ndipo akili zitatukaa sawa
HahsWabane kote ila sio access ya mke wangu nilipe tozo...Patachimbika!