Kuanzia Jana kutumia code ya simbanking tigo ni sh 100 kwa Mara moja, *150*03#

Kuanzia Jana kutumia code ya simbanking tigo ni sh 100 kwa Mara moja, *150*03#

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Kuanzia Jana tigo wameanzisha tozo ya kuweza kuingia sim banking kwa kutumia mtandao wao, kwahivo kula ukitaka kuangalia salio, kutuma salio kwa simu banking lazma utoe 100 ndo uingie ndani.

Sasa sisi waalimu unakuta zamani unaangalia hata salio Mara 30 kucheki salary sijui itakuaje, kila pahala ni kukatwa
 
Hayo ni makato madogo, lakini ki hesabu ni makubwa. Ni kati ya hela ambazo makampuni yanapata lakini serikali haikusanyi kodi. Utitri wa kampuni za simu ni baada ya kugundua mianya iliopo ya kukwepa kodi
 
Khaaaa! ndiyo maana kila nilipotaka kufanya muamala kwa Benk kupitia mobile phone naletewa ujumbe unaoniambia salio halitoshi.Kweli mwaka huu mgumu.Yani kila mahali ni kibano tu.
Si mlisema bwana yule anachukia matajiiri,,,sasa mrithi wake ameamua kuwachukia wanyonge!
 
Back
Top Bottom