Kuanzia kesho sili papuchi bila kumpima UKIMWI na ujauzito

Kuanzia kesho sili papuchi bila kumpima UKIMWI na ujauzito

Pole Sana
Ulikoswa koswa kupigwa kitu kizito [emoji28]
 
Mm Kuna fala mmoja alitaka kunitegesheaa mimba hvyo hvyo Kama alivyo taka huyo wako siku namuhitaji hatokeo kbsa bas sijui kaenda huko Moro kajazwa mimba akatakujisafirisha Hadi singida nije kumla Kisha anibambikize mimba Kisha nimuoe dah
 
Wakuu,

Wanawake akili zao wanazijuwa wenyewe! Kupitia uzoefu niliyopata humu JF, nikaweza kubaini hujuma niliyotaka kufanyiwa na hivi vibinti vinavyo vaa viatu vyenye manyoya.

Tulipanga miadi ya kula papuchi wiki mbili zilizopita, ila kwasababu anazozijuwa yeye hakutokea, nikabaki na ugumu wangu, nikaamua nikaushe.

Sina hili wala lile naona ujumbe mfululizo, ohh nimekukumbuka, ohh nije, ohh nina minyeg*, nikarejea nyuzi za huku kwamba ukiona mwanamke anakushawishi ukamle jua kuna uwalakini.

Nikasema sawa basi tutapanga, mimi huwa kabla sijala mzigo lazima nihoji mzunguko wake wa hedhi ndiyo nitie mguu. Sasa nikamuhoji ulipata siku lini na unatarajia kuona tena siku zako lini? Alivyonitajia na nilivyopiga mahesabu nkaona hesabu hazisomi.

Nikambana anipe maelezo zaidi, naona maelezo yake hayasomi, nikaona sawa si mbaya, alivyofika magetoni kabla ya yote nikaandaa kipimo nasubiri, alivyofika tu nikamtolea kama 'suprise', embu tufanye uchunguzi. Kweli kipimo kikasoma mimba ipo, kikamshuka puh!

Nikamuuliza tena ndiyo akanambia alifanya mapenzi, nikapiga mahesabu iliangukia siku zake za hatari, na hakuona siku zake za hedhi, na alikuwa anaumwa kichwa na chuchu kuwasha nikajihakikishia alinasa kwa kukadiria mimba ilikuwa na wiki na siku.

Sasa ningekula kipofu mzigo ungekuwa unaniangukia mimi kizembe, sasa ilikuwa na maana gani kupata C ya biolojia kama ningebambikiwa mimba kizembe hivi? Nikala mzigo halafu akapita vile. Sasa sijui anaenda kuitoa maana anasema hajapanga.

Kuanzia sasa nitakuwa nafanya ukaguzi kwanza na kujua mzunguko wake, kipimo huwa hakisomi mimba ikiwa na siku kadhaa ila wiki kinasoma.
Uwe unapima na ngoma kabisa
 
Sasa ningekula kipofu mzigo ungekuwa unaniangukia mimi kizembe, sasa ilikuwa na maana gani kupata C ya biolojia kama ningebambikiwa mimba kizembe hivi? Nikala mzigo halafu akapita vile. Sasa sijui anaenda kuitoa maana anasema hajapanga.
Atajua mwenyewe, ishi nao kwa tahadhari huo ushauri mwingine nimekupa mkuu
 
Wanawake sio watu wa kuwaamini kabisa, alikubali umpime akijua kuwa kipimo hakitasoma mimba ya siku tatu, hakujua kuwa hicho kijusi tayari kimekwisha kanyaga wiki

Huyo awe anaileta tu unamsaidia kumuongezea mtoto masikio na vidole
 
Back
Top Bottom