majumba 6
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 250
- 703
Kuanzia kesho vijana wasikose bando.
Kuna mikeka minne(pdf) iko njiani.
Mkeka wa kwanza unawahusu walioteuliwa kuwa makatibu tawala wa wilaya.
Mkeka wa pili ni wa walioteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji.
mkeka wa tatu ni wa waliifanikiwa kupata ajira za ualimu (6949)
Mkeka wa nne ni walifanikiwa kupata ajira kada ya afya.
Kaeni mkao wa kula. Bando lisikate!