Kuanzia kesho vijana msikose bando, mikeka mingine inafuata

Kuanzia kesho vijana msikose bando, mikeka mingine inafuata

Life of vyeo, vyeo oriented! Haya mambo yamedumaza akili zetu hadi unakuta mtu haachii ofisi, hafanyi kazi kwa weledi ufanisi na ubunifu ila anafanya ili ateuliwe au apandishwe cheo.
Nadhan ni mimi pekee nisie penda mavyeo vyeo!

Kwanza ni stress tu.

Be u, take your time and fund to investments.
 
Kwani mama alisema anateua vijana nafasi zote?
 
Nina Wanangu ( Marafiki zangu ) Wawili kutoka 'Eagle Wing House' Makao Oysterbay wakikosa sitomuelewa kabisa Mama ( Mheshimiwa Rais ) Mmoja yupo Mtwara na mwingine Dodoma.
Sasa hao Jamaa zako si tayari wako kwa system, na wanakula keki ya Taifa huko Eagle Wing! Acha Mama achukuwe Watanzania wa mtaani nao waje kwa system ili nao wale keki ya Taifa pamoja!!
 
Hii mikeka ,hasa ya teuz as time goes by itakua haina maana kiutendaji. Kuna haja yaku review hizi post kikatiba. Yaan ukituatilia kiutendaji, huezi kuona clear line Kati ya kazi za DC, DAS, MKURUGENZI, MEYA/MWENYEKITI HALMASHAURI ,MBUNGE ,MADIWANI etc. Ndo maana kunakua na conflict of interests Mara nyingi utakuta Dc haivi na Das au Mkurugenzi au Meya maana kazi zinafanana lzm muingiliano uwepo. Pengine hizi post tulirithi kutoka colonial state/system . Hivi vitu we tend to take easy lakini vinakula fund nyingi sn ya nchi ... Yaani hata reports za IMF na WB utaona recommendation moja wapo ni kwa African countries kupunguza expenditure kwenye buraucracy !! Huu msululu kiuongoz ndo unafanya hata pesa za bajeti ya maendeleo zinaliwa cz zinapita kwa mikono mingi.
 
Kuanzia kesho vijana wasikose bando.

Kuna mikeka minne(pdf) iko njiani.

Mkeka wa kwanza unawahusu walioteuliwa kuwa makatibu tawala wa wilaya.

Mkeka wa pili ni wa walioteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji.

mkeka wa tatu ni wa waliifanikiwa kupata ajira za ualimu (6949)

Mkeka wa nne ni walifanikiwa kupata ajira kada ya afya.

Kaeni mkao wa kula. Bando lisikate!
Nafasi hizo zote zina tija gani kwa Taifa letu
 
Kulikua na haja ya kupunguza utitiri wa viongozi wateule ili kubana matumizi tanzania
Line upIngekua hivi
Rais
Waziri mkuu
Mawaziri
Wakuu wa mikoa
Meya
Wakurugenzi
Mtendaji kata
Balozi
 
Kulikua na haja ya kupunguza utitiri wa viongozi wateule ili kubana matumizi tanzania
Line upIngekua hivi
Rais
Waziri mkuu
Mawaziri
Wakuu wa mikoa
Meya
Wakurugenzi
Mtendaji kata
Balozi
Tena hapo kungekuwa na uchaguzi wa rais tu na waziri mkuu angekuwa mgombea mwenza,hao mawaziri watu wangetuma maombi mwenye qualification nzuri anaajiriwa na anapewa wizara kulingana na taaluma yake KUBWA KULIKO YOTE UKIENDA KINYUME NA TARATIBU UWAJIBISHWE KISHERIA haijalishi wewe ni kiongozi wa ngazi ipi,bunge lingeundwa na mameya wa kila almashauri.
 
Back
Top Bottom