Anateua lini maheadmaster na ma head girlKuanzia kesho vijana wasikose bando.
Kuna mikeka minne(pdf) iko njiani.
Mkeka wa kwanza unawahusu walioteuliwa kuwa makatibu tawala wa wilaya.
Mkeka wa pili ni wa walioteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji.
mkeka wa tatu ni wa waliifanikiwa kupata ajira za ualimu (6949)
Mkeka wa nne ni walifanikiwa kupata ajira kada ya afya.
Kaeni mkao wa kula. Bando lisikate!
Hali tete, wamepigwa za chembeTuliwambia ccm inawenyewe lakini hawakusikia. Wacha waisome namba
Hivi Masud Kipanya mbona wanamsahau unajua watu wanafikiri hivi vipanya anachora na akili yake itakuwa kama vikatuni vyake ha ha.Masud ana upeo kuxidi wabunge wawiliKuanzia kesho vijana wasikose bando.
Kuna mikeka minne(pdf) iko njiani.
Mkeka wa kwanza unawahusu walioteuliwa kuwa makatibu tawala wa wilaya.
Mkeka wa pili ni wa walioteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji.
mkeka wa tatu ni wa waliifanikiwa kupata ajira za ualimu (6949)
Mkeka wa nne ni walifanikiwa kupata ajira kada ya afya.
Kaeni mkao wa kula. Bando lisikate!
Masood hajawahi unga juhudi na pia yuko upande wa upinzani jarbu mfatilie uyu jamaa utaelewaHivi Masud Kipanya mbona wanamsahau unajua watu wanafikiri hivi vipanya anachora na akili yake itakuwa kama vikatuni vyake ha ha.Masud ana upeo kuxidi wabunge wawili
Ni sawa, lakini unafikiria akiteuliwa, anaweza kukataa?na kwa Tz, ukishakubali tu uteuzi automatically una kuwa CCM, njaa ndio adui mkubwa, ni wachache sana, ambao anaweza kataa uteuzi tena wa rais!!muulize yule jamaa wa tigo aliyekataa teuzi ya MWENDAZAKE, kilimkuta nini?!!japo huyu mama hawezi kukufanya kitu, lakini kwenye ile ofisi unayofanyia kazi ndio watakusumbua sana!!Masood hajawahi unga juhudi na pia yuko upande wa upinzani jarbu mfatilie uyu jamaa utaelewa
Nina Wanangu ( Marafiki zangu ) Wawili kutoka 'Eagle Wing House' Makao Oysterbay wakikosa sitomuelewa kabisa Mama ( Mheshimiwa Rais ) Mmoja yupo Mtwara na mwingine Dodoma.Kuanzia kesho vijana wasikose bando.
Kuna mikeka minne(pdf) iko njiani.
Mkeka wa kwanza unawahusu walioteuliwa kuwa makatibu tawala wa wilaya.
Mkeka wa pili ni wa walioteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji.
mkeka wa tatu ni wa waliifanikiwa kupata ajira za ualimu (6949)
Mkeka wa nne ni walifanikiwa kupata ajira kada ya afya.
Kaeni mkao wa kula. Bando lisikate!
Naomba nikopeshe buku mbili, jina langu likiwemo kwenye mkeka nakurudishia elfu kumi.Kuanzia kesho vijana wasikose bando.
Kuna mikeka minne(pdf) iko njiani.
Mkeka wa kwanza unawahusu walioteuliwa kuwa makatibu tawala wa wilaya.
Mkeka wa pili ni wa walioteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji.
mkeka wa tatu ni wa waliifanikiwa kupata ajira za ualimu (6949)
Mkeka wa nne ni walifanikiwa kupata ajira kada ya afya.
Kaeni mkao wa kula. Bando lisikate!
Headmistress bhana lol [emoji23][emoji23]Anateua lini maheadmaster na ma head girl
cheo gani? kusoma mita au?Ikifikia TANESCO mnishtue, naamini sitokosekana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliza mpira kijana wangu mbona chenga sana toa pass za kunyooka, usimsahau jirani yako hapo karibu nageti fl 3Nina Wanangu ( Marafiki zangu ) Wawili kutoka 'Eagle Wing House' Makao Oysterbay wakikosa sitomuelewa kabisa Mama ( Mheshimiwa Rais ) Mmoja yupo Mtwara na mwingine Dodoma.