Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Usiogope mkuu, hakuna biashara inalipa kama pombe duniani, sema Jacaranda mwenyewe kafa (if am not mistaken), mbona kona bar, barakuda, yenu, mawenzi, pazi, hongera (kwa uchache) zipo hadi leo na zinafanya vizuri tu, sema usimamizi tu ndo muhimu na wanywaji wa Kinondoni huwa wanafuata upepo wapi iko mpya ndo wanajazana.
unauhakika hao mabikra 72 watakuwepo huko? na ni 72 kwa pamoja au kwa kila mwanaume? na kama wapo unadhani watatoa?Duu! Ivi wanawake wao wanafaidi nini? Make hao wanawake wazuri itakua kwa ajili ya wanaume,
Mbinguni kuna bikra 72 kwa ajili ya wanaume.
BTW, mwanzisha mada hajatuambia alienda tarehe zipi apo awali, assume alienda mwisho wa mwezi mara ya kwanza, afu akaenda jana, lazma tofauti iwepo.
Biashara ya bar huwa nzuri na endelevu kama una jiko zuri. Kuna bar ipo Boko inaitwa Fyatanga bar ni ya kawaida sana kwa maana ya mazingira na wahudumu wake lakini kuna nyama choma ya mbuzi ya ukweli haswa,ukienda pale weekends utakosa hata pakupark gari. Ni jiko ndilo linawajaza wateja pale na beer zinanyweka haswa.
wa kwenu wapi??
koma kabisaa, wahudumu wenye mazowea ya faster ndiyo mwanzo wa kujitongozesha na kupiga mizinga. mhudumu anatakiwa awe mchangamfu lakini asiwe na mazowea yasiyo na msingi, binafsi nikiingia bar huwa napendelea kuhudumiwa na mhudumu wa kiume.
Alaa kumbe kwa ufupi biashara hii ni ya Wazinzi na wachafu wa tabia?
Kwanini usinywe bia nyumbani.
nitake radhi mkuu, mimi situmii kilaji!
Fungua baa, weka mademu warembo...na wanaojali wateja
Naam, siku ukija Dar usisahau kunitafuta...
Fungua baa, weka mademu warembo...na wanaojali wateja
Biasharaa ya bar ni huduma ya uhakika, jiko la maana, wahudumu wa bashasha na kujua aina ya wateja unaotakaa.
Otherwise ni biashara yahitaji sana kukuna kichwa na kutokubweteka asilanii.
Vp rose garden dar badoo inabambaaaa??