Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa mkuu ila mbona hata hiyo jacalanda ipo pembezoni mwa barabara kama calabash na paking ni kubwa tu?
Ni sawa mkuu ila mbona hata hiyo jacalanda ipo pembezoni mwa barabara kama calabash na paking ni kubwa tu?
Mkuu umesahau kuwa walevi wengi .... kumradhi.. wanywaji wengi wanapenda sehemu iliyo convenient kuwaagiza wanywaji wenzao wakutane ikiwa na pamoja na paking convenience lakini pia utawapata kiurahisi kama bar yako iko karibu ama pembezoni mwa barabara. Cha msingi kabisa juu ya yote haya wanywaji wengi wanapenda kukaa sehemu wanayoweza kuonekana kiurahisi. Ndo maana barabarani pembezoni kunahusika sana. nani anapenda kunywa mahali palipojificha wakati wanatafuta hela sehemu zilizo wazi ambazo hazijajificha?
Hakunagaaaaa. Na huo ndo mtazamo wangu ingawa kama umejirudia ila point ya mwisho inahusika sana
Kwa nini kutoka Singida?
Wanaominyaminya mabega ya mteja wakisubiri maagizo,
Ni sawa mkuu ila mbona hata hiyo jacalanda ipo pembezoni mwa barabara kama calabash na paking ni kubwa tu?
hizo bar watu wamezikimbia kutokana na wimbi la kuibiwa unawekewa madawa unazima wanakuibia mpaka chu.pi,pia mateja na mashoga kupiga vibomu na kuganda watu,achana nao wale.misheni.town wanaojifanya stori nyingi ili wakiombe bia.
watu hasa wnywaji bombe wanapenda milupo kama ukawa na bar hafu waudumu shapeless huwezi uza kivile .
Hii ya kufuata wahudumu Singida imenichosha nyokweeeee zaoNdugu hata ukifanya hivyo haitoshi, sema itasaidia i survive kwa muda mrefu kidogo, tatizo lililopo kwa wateja hata ukiwa na walembo kiasi gani, wateja wengi wanakuwa ni kwa ajiri ya ngono tu, wakishawamaliza wote wanaona hakuna jipya, na kama jirani yako patafunguliwa bar iwe na wahudumu wakali hao hao wateja wako watakimbilia kule!! cha muhimu ni kuwa na wahudumu walio makini na kazi na wanaojua nini wanafanya, mfano mzuri kwa dar kwenye bar za kisuma utakuta wahudumu wengi ni majimama tena watu wazima ila wateja ni nyomi, tatizo la hao unao waita wakali hawajitumi wao wako kibiashara zaidi hata akiwa na bwana yake mteja mwingine ukiingia hana muda na wewe!!! waulizie wale waliokuwa wanakimbizana kufuata wahudumu Singida waliishia wapi?
Are you alive Sir?Singida hasa warangi, wengi wao ni warembo sana, harafu huwa hawakatai mtu kirahisi, na ukiwaangalia wamejariwa.Ndio maana watu wengi waliokuwa wanafungua ma bar wanakwenda huko kondoa ana somba anakuja ana wapangia na gheto, kweli mwanzoni wanaume wale wakwale utawapata kweli!!hadi utaongeza viti, ila baadaye huduma itaanza kushuka kila leo kwani jukumu lao kubwa wanalisahau na ku base kwenye maslahi yao binafsi na mwisho wa siku ni kuanza kuondoka na kutafuta sehemu nyingine watakayoonekana wapya ili soko liwe zuri
Kabatini 🙆🙆Kuna baa moja ilivuma sana pale mbezi mwisho imetazamana na kanisa katholic;
haikupita hata miezi mitatu panachoka ile mbaya.