Kuanzia leo, biashara ya bar imeniogopesha

Kuna baa moja ilivuma sana pale mbezi mwisho imetazamana na kanisa katholic;
haikupita hata miezi mitatu panachoka ile mbaya.
 
Ni sawa mkuu ila mbona hata hiyo jacalanda ipo pembezoni mwa barabara kama calabash na paking ni kubwa tu?

Mkuu umesahau kuwa walevi wengi .... kumradhi.. wanywaji wengi wanapenda sehemu iliyo convenient kuwaagiza wanywaji wenzao wakutane ikiwa na pamoja na paking convenience lakini pia utawapata kiurahisi kama bar yako iko karibu ama pembezoni mwa barabara. Cha msingi kabisa juu ya yote haya wanywaji wengi wanapenda kukaa sehemu wanayoweza kuonekana kiurahisi. Ndo maana barabarani pembezoni kunahusika sana. nani anapenda kunywa mahali palipojificha wakati wanatafuta hela sehemu zilizo wazi ambazo hazijajificha?
Hakunagaaaaa. Na huo ndo mtazamo wangu ingawa kama umejirudia ila point ya mwisho inahusika sana
 

inaweza kuwa kweliii
 
Ni kweli pombe hukolea vizuri zaidi kama kuna huduma ya michangu mistaarabu
 
Jiko zuri, huduma kwa wateja iwe nzuri, lipa Malaya hata watano waje wakae tu hapo bar, ila wawe wakali, hao ni tofauti na wahudumu, hao Malaya waje wakae tu wape hata bia moja moja ya kuzugia, bishara haitokufa kamwe.
 
watu hasa wnywaji bombe wanapenda milupo kama ukawa na bar hafu waudumu shapeless huwezi uza kivile .
 
Ni sawa mkuu ila mbona hata hiyo jacalanda ipo pembezoni mwa barabara kama calabash na paking ni kubwa tu?

hizo bar watu wamezikimbia kutokana na wimbi la kuibiwa unawekewa madawa unazima wanakuibia mpaka chu.pi,pia mateja na mashoga kupiga vibomu na kuganda watu,achana nao wale.misheni.town wanaojifanya stori nyingi ili wakiombe bia.

Mkuu Jibu ushalipata hapo, na hii ipo sehemu nyingi na nimeliona hili Arusha kwa Pinpoint na Babyloan(hapa mabaunsa niwezi ukilewa tu umeumia)
 
Trick nzuri ni kubadili wahudumu wa bar kila baada ya miezi miwili na wawe visu vya ukweli lakini rahisi kugongwa na wateja, hapo bar yako haitakauka wateja
 
watu hasa wnywaji bombe wanapenda milupo kama ukawa na bar hafu waudumu shapeless huwezi uza kivile .

Umeingiza swala la ukawa hapa umetibua kila kitu mkuu we ni gamba?
 
Weka wahudumu wazuri na kauli nzuri kwa wateja baa itadumu
 
Hii ya kufuata wahudumu Singida imenichosha nyokweeeee zao
 
Are you alive Sir?
 
ni kweli kabisa bar nyingi bongo zinawika kwa kipindi fulani tu baada ya muda inafifia kama sio kufa kabisa.Tatizo kubwa lililopo ni mfumo wao wa uendeshaji, nyingi haziendeshwi kama kampuni ndio tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…