Kuanzia leo, biashara ya bar imeniogopesha

Fungua baa, weka mademu warembo...na wanaojali wateja
Bar bila wahudu warembo wenye wezele itakufa tu

Halafu unawacheki wadangaji unawaambia waje kudanga hapo kwenye bar yako wana association yao na wanajuana.

Utapata wateja wengi sana

Mlevi bila kupitisha pitisha macho huku na kule kutazama miwezele hapati vibe wala stimu

Jiongeze
 
Ni kwel unayoyasema ila kuna watu wana bahati unakuta bar toka 2000 mpaka leo inapga nyomi tu na kuna wahudumu wa kawaida tu
 
miaka ya 2013 kuna bendi kadhaa zilikua zinagonga hapo Jacaranda almost daily,
nilitia mguu 2018, daaah
2019 wakafunga ikabaki Uhuru Peak, nayo ikawa inahemea pua moja ikiwa hoi, hata wale 'wauza ngozi' wakatoweka
 
Ni kweli mkuu, mitaa ya Buza Tanesco kuna sweet corner pub ya kawaida tu, ila inakimbiza balaaa, siri yake ni hiyo Association nzima nadhani huwa inaamia hapo halafu kila siku visu vipya.
 
Ni kwel unayoyasema ila kuna watu wana bahati unakuta bar toka 2000 mpaka leo inapga nyomi tu na kuna wahudumu wa kawaida tu
Siyo bahati, kuna watu ni wazito sana, akipiga kafara moja ni karne nzima.

Hizo bar zipo hata ukipangishwa uziendeshe hupati changamoto za promo ya kupata wateja.
 
Hii biashara hii
 
👊
 
✊✊ ushauri konki sana huu
 
Weka pisi kali alafu zisikae sana zika zoeleka, hakikisha una badili mara kwa mara na ili ikuwie rahisi fanya mabadilishano na watu wa bar zingine zilizo mbali na ulipo at least 100km
 
Ndio maana hapo juu kuna jamaa kasema hawa mademu wamwe wanapewa mkataba tuseme umewapa ajira mwezi wa 6 mkataba unaisha mwezi wa 3 maana masika ikianza wateja wanakosekana kingine wateja wanaweza wakawa wameshapachoka hapo kazini so unaleta wapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…