Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukianzisha bar kwanza ujue unataka wateja wa aina gani. ukiamua unataka wateja kama wa Rambo ya manzese wawekee menu yao na utadumu nao. Hawa ni wateja kama wa kimboka Buguruni. Unaweza uka target kama wateja middle class kama Rombo Green View na ukadumu nao. on the other hand kama huna target group maalum kama corner bar tegemea kufunga bar ikifunguliwa nyingine jirani. Cha msingi kwa wengi wa Dar. concentrate kwenye jiko na wahudumu walio jazia jazia na wacheshi kisha punguza mziki. hata mimi utanipata
Hujui kwa nchi hii wasichana wakali wanatoka singida?Hili swali la msingi, na kuna ukweli wengi wanaofungua bar huwa wanaenda singida au manyara kufuata manyara sijui kwa nini......
kwa nini wanatokea ukanda huo?? Au ni kama ambavyo mahausi girl wengi inasemekana wanatokea Iringa??
car paking pia ni factor especially bar za pembeni ya barabara.kuna bar inaitwa calabash ile haitakaa ife itasumbua sana hapa town kwa muda mrefu
Usiogope mkuu, hakuna biashara inalipa kama pombe duniani, sema Jacaranda mwenyewe kafa (if am not mistaken), mbona kona bar, barakuda, yenu, mawenzi, pazi, hongera (kwa uchache) zipo hadi leo na zinafanya vizuri tu, sema usimamizi tu ndo muhimu na wanywaji wa Kinondoni huwa wanafuata upepo wapi iko mpya ndo wanajazana.
Walevi huwa hawana mwamana...kuhama hama ni jadi yao...
Pia kama jikoni haupo vizuri tegemea kufunga baa tu
Ukianzisha bar kwanza ujue unataka wateja wa aina gani. ukiamua unataka wateja kama wa Rambo ya manzese wawekee menu yao na utadumu nao. Hawa ni wateja kama wa kimboka Buguruni. Unaweza uka target kama wateja middle class kama Rombo Green View na ukadumu nao. on the other hand kama huna target group maalum kama corner bar tegemea kufunga bar ikifunguliwa nyingine jirani. Cha msingi kwa wengi wa Dar. concentrate kwenye jiko na wahudumu walio jazia jazia na wacheshi kisha punguza mziki. hata mimi utanipata
Fungua baa, weka mademu warembo...na wanaojali wateja
Ndugu hata ukifanya hivyo haitoshi, sema itasaidia i survive kwa muda mrefu kidogo, tatizo lililopo kwa wateja hata ukiwa na walembo kiasi gani, wateja wengi wanakuwa ni kwa ajiri ya ngono tu, wakishawamaliza wote wanaona hakuna jipya, na kama jirani yako patafunguliwa bar iwe na wahudumu wakali hao hao wateja wako watakimbilia kule!! cha muhimu ni kuwa na wahudumu walio makini na kazi na wanaojua nini wanafanya, mfano mzuri kwa dar kwenye bar za kisuma utakuta wahudumu wengi ni majimama tena watu wazima ila wateja ni nyomi, tatizo la hao unao waita wakali hawajitumi wao wako kibiashara zaidi hata akiwa na bwana yake mteja mwingine ukiingia hana muda na wewe!!! waulizie wale waliokuwa wanakimbizana kufuata wahudumu Singida waliishia wapi?
hizo bar watu wamezikimbia kutokana na wimbi la kuibiwa unawekewa madawa unazima wanakuibia mpaka chu.pi,pia mateja na mashoga kupiga vibomu na kuganda watu,achana nao wale.misheni.town wanaojifanya stori nyingi ili wakiombe bia.
Wanaominyaminya mabega ya mteja wakisubiri maagizo,